Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_1592.jpg
 
List of gangs in Nairobi 🙂
Gaza -kayole
Takataka-zimmerman/
Usiku Sacco
Wagenge-korogocho
Lamba lolo-kisumu ndogo
Tsunami
Al Pacinos
Etc etc
🙂🙂🙂🙂
Mpaka majina ya nyimbo za gengetone! Umeisha wewe! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Siijui vile lakini kaka zako wenye kutoa real life kwa ground wanaijua, ama pia utawaruka useme ni wamsumbiji na wanyarwanda hao??? 😂 😂 😂 😂
Nimekuuliza wewe narudia tena DSM unaijua apart from maneno ya kuambiwa maana Mimi Nairobi naijua mitaa yote ya slums nimefika nikimaanisha easltands nashukuru kazi yangu 🙂
 
Nimekuuliza wewe narudia tena DSM unaijua apart from maneno ya kuambiwa maana Mimi Nairobi naijua mitaa yote ya slums nimefika nikimaanisha easltands nashukuru kazi yangu 🙂
Halooo, wabongo wakilia jua kuna jambo! Ni hayo tu! 🤣 🤣 🤣
 
Aibu ndogo unaijua kariadudu?,mandrakos, Balkans?,mowlem? K.c.c? We unafikiria nafanya guess work?
Hivi unawafahamu - Nyange Nyange, Vibaka wa Ukonga, Madereva wa Noah, Vicheche??? 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hao wote wa Tz... Tena bado!
 
Back
Top Bottom