Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni dar-dom mzee
Ujenzi wa njia nne kutoka Dodoma hadi Morogoro wazidi kunoga
Muungwana Blog 3 Nov 20, 2019
img_20191120_072813.jpg

Waziri wa Fedha na mipango Dkt. Philip Mpango amefanya mazungumzo na Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) ili iweze kuipatia Tanzania mkopo nafuu kwa ajili ya kujenga barabara ya njia nne toka mkoani Morogoro hadi Jijini Dodoma kwa lengo la kuboresha usafirishaji wa abiria na mizigo.

Ametoa ombi hilo Jijini Dodoma wakati alipokutana na Mkurugenzi mtendaji wa bodi ya wakurugenzi ya benki hiyo Amos Cheptoo anayewakilisha nchi nane za ukanda wa Afrika Mashariki.

Amesema ombi lake kwa Mkurugenzi huyo wa AfDB ni kuona namna gani wanaweza kuanza kuliweka jambo hilo kwenye miradi ambayo benki hiyo imekuwa ikiigharamia ili kukamilisha ujenzi wa barabara hiyo ya njia nne itakayo kuwa na uwezo wa kupitisha magari mawili kwa njia ya kwenda na ya kurudi.

“Baada ya Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi tunahitaji usafirishaji kwa njia ya barabara uwe bora na haraka zaidi lakini pia tuweze kupunguza ajali maana kuna ajali nyingi kwa sababu magari yanayokwenda Dar es Salaam na yanayokuja Dodoma au kwenda Mwanza yanapishana kwenye njia moja,” amefafanua Dkt. Mpango.

Akijibu ombi la Waziri Dkt. Mpango Mkurugenzi mtendaji huyo wa Bodi ya wakurugenzi ya benki ya AfDB Amos Cheptoo amesema watahakikisha Tanzania inapata mikopo ya miradi yake ya kimkakati na ya kipaumbele ukiwemo wa ombi hilo la ujenzi wa barabara ya Morogoro hadi Dodoma kwa kiwango kinachokusudiwa.

Kuhusu uwezeshwaji kwa taasisi nyingine nchini Cheptoo amezitaka sekta binafsi kuchangamkia fursa za mikopo nafuu zilizopo katika benki hiyo kutokana na kuwa na nafasi nzuri ya upatikanaji wake ili ziweze kujikwamua kiuchumi na kutokomeza umasikini barani Afrika.

“Sekta binafsi za Tanzania hazijatumia vizuri dirisha la mikopo ya AfDB ikilinganishwa na chi nyingine za ukanda huu wa Afrika ninakuomba Waziri wa fedha uwahamasishe wakope fedha hizo ili kukuza mitaji yao na kuongeza ajira,” amedisitiza Cheptoo.

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imefadhili miradi 23 nchini ikiwemo 21 ya umma na miwili ya sekta binafsi ikiwa na thamani ya dola za kimarekani bilioni 2.1 katika nyanja za nishati, miundombinu ya barabara, usafiri, kilimo, maji na usafi wa mazingira.

Ujenzi wa njia nne kutoka Dodoma hadi Morogoro wazidi kunoga
Muungwana Blog 3 Nov 20, 2019
View attachment 1960352

njia nne safi.. Dodoma ina kuwa mkoa wenye barabara ya njia nne nyingi na ndefu kuliko mikoa mengine.. kuna ile ring road na huu.. na vile kuna SGR.. hizi barabara zitadumu mda mrefu
 
Barabara ya morogoro to Dodoma inakua njia 4 badala ya njia 2 kama saivi
Safi sana, tunataka kuona pesa ya Watz inafanya maendeleo, ishi duniani ukiwa na lengo la kuacha positive impact ili watakaokuja waige kutoka kwako.

Nimeamini mtu mmoja tu anaweza akaleta mabadiliko katika jamii, hongera sana, atleast now wananchi wanaona thamani ya kodi yao.
 
Ujenzi wa njia nne kutoka Dodoma hadi Morogoro wazidi kunoga
Muungwana Blog 3 Nov 20, 2019
View attachment 1960352

Waziri wa Fedha na mipango Dkt. Philip Mpango amefanya mazungumzo na Benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) ili iweze kuipatia Tanzania mkopo nafuu kwa ajili ya kujenga barabara ya njia nne toka mkoani Morogoro hadi Jijini Dodoma kwa lengo la kuboresha usafirishaji wa abiria na mizigo.

Ametoa ombi hilo Jijini Dodoma wakati alipokutana na Mkurugenzi mtendaji wa bodi ya wakurugenzi ya benki hiyo Amos Cheptoo anayewakilisha nchi nane za ukanda wa Afrika Mashariki.

Amesema ombi lake kwa Mkurugenzi huyo wa AfDB ni kuona namna gani wanaweza kuanza kuliweka jambo hilo kwenye miradi ambayo benki hiyo imekuwa ikiigharamia ili kukamilisha ujenzi wa barabara hiyo ya njia nne itakayo kuwa na uwezo wa kupitisha magari mawili kwa njia ya kwenda na ya kurudi.

“Baada ya Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi tunahitaji usafirishaji kwa njia ya barabara uwe bora na haraka zaidi lakini pia tuweze kupunguza ajali maana kuna ajali nyingi kwa sababu magari yanayokwenda Dar es Salaam na yanayokuja Dodoma au kwenda Mwanza yanapishana kwenye njia moja,” amefafanua Dkt. Mpango.

Akijibu ombi la Waziri Dkt. Mpango Mkurugenzi mtendaji huyo wa Bodi ya wakurugenzi ya benki ya AfDB Amos Cheptoo amesema watahakikisha Tanzania inapata mikopo ya miradi yake ya kimkakati na ya kipaumbele ukiwemo wa ombi hilo la ujenzi wa barabara ya Morogoro hadi Dodoma kwa kiwango kinachokusudiwa.

Kuhusu uwezeshwaji kwa taasisi nyingine nchini Cheptoo amezitaka sekta binafsi kuchangamkia fursa za mikopo nafuu zilizopo katika benki hiyo kutokana na kuwa na nafasi nzuri ya upatikanaji wake ili ziweze kujikwamua kiuchumi na kutokomeza umasikini barani Afrika.

“Sekta binafsi za Tanzania hazijatumia vizuri dirisha la mikopo ya AfDB ikilinganishwa na chi nyingine za ukanda huu wa Afrika ninakuomba Waziri wa fedha uwahamasishe wakope fedha hizo ili kukuza mitaji yao na kuongeza ajira,” amedisitiza Cheptoo.

Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imefadhili miradi 23 nchini ikiwemo 21 ya umma na miwili ya sekta binafsi ikiwa na thamani ya dola za kimarekani bilioni 2.1 katika nyanja za nishati, miundombinu ya barabara, usafiri, kilimo, maji na usafi wa mazingira.

Amka usijikojolee. Hii haitawahi jengwa maana haina economic sense.
Ya Kenya inajengwa lakini
FB_IMG_16309345030920270.jpg
 
Attachments

  • FB_IMG_16309457295451236.jpg
    FB_IMG_16309457295451236.jpg
    28.9 KB · Views: 22
Kwaiyo ni dual carriageway kutoka Dar mpaka dom karibia km 500

Wakenya mkae mkao wakuliwa
Huwa sielewi wakunya wanapojaribu kuji compare na Tz when it comes to kms of paved road, huwa wanatoa wapi ujasiri.

Nangojea Tanroad wa update data zao alafu muone show humu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ila mihogo ya coco halafu ushushie na juice ya miwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Pale kuna crips za mihogo ni matata sana. Ni vitamu balaa vikiwa na pili pili. Siku nilienda pale nikavichukulia poa ila nilishangaa nilivyopiga mikono mingi kwenye kapaketi kuliko hata alie agiza.. [emoji1][emoji1]
 
Hivi pia wataka kusema hakuna wezi Bongo, duh, nyie vilaza kweli? Itakuwa Brazil, watalii walifanyiwa wakati wa World Cup, tena mchana kweupe, sisi Afrika ndio tushangae. Wewe kweli bado umefungiwa nyumbani kwenyu, toka utembee! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
huwa nakuambiaga kuwa wewe ni kunguni,kujizoom huwa hauwezi
 
Leo mekuja na maswali nataka majibu, hivi nyie Kenyans na kelele zote mnapiga humu, hasa wew bwana Vintech na wewe Don YF we all know kwamba majengo marefu yote tz ni mali ya watanzania, nataka mnitajie hata jengo moja refu hapo kwenu ambalo ni mali ya wakenya. Ili tupime nani Kati yetu anajiweza na nani anajikweza.
And that's why dodoma your "capital city" looks like a battle field!!!!how can a responsible government compete with a private sector?. Eti majengo marefu!jengo refu pekeyake Tanzania ni Mt kilimanjaro...
 
Back
Top Bottom