Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
Hivi pia wataka kusema hakuna wezi Bongo, duh, nyie vilaza kweli? Itakuwa Brazil, watalii walifanyiwa wakati wa World Cup, tena mchana kweupe, sisi Afrika ndio tushangae. Wewe kweli bado umefungiwa nyumbani kwenyu, toka utembee! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣hakuna cha kawaida in reality mna maisha magumu kupitiliza,kwa hiyo location almost 60% ya watu ni vibaka kuanzia madereva wa daladala,boda boda n.k..
hao vibaka wangekuwa hapa bongo kwa jinsi wanavyotaka kuiba kizembe wangeshakuwa maiti,hao raia wa pembeni wasingewaachia.




