The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Na ndiyo hao hao waliotuambia tutajenga reli ya umeme ya mfano hapa Afrikahawa si ndio wale walituambia mkulu ako salama anachapa kazi mkuu??




Mbn hinioneshi hicho kituGive me the actual render of ubungo flyover interchange and the same ubungo after completion nikuonyeshe kitu!!!






lakini hawa hawa bado si ndio wale walituambia reli iko 100 pasenti funded by got?alafu wakasema 2020 mngeanza kupanda electriki traini?Na ndiyo hao hao waliotuambia tutajenga reli ya umeme ya mfano hapa Afrika![]()
Kama hivi au sioMkuu hii bado ni dar? alafu render ukiangalia chini iko na 4 loan road alafu hapa naona tu vumbi????
View attachment 1960440









Hiyo kitu nimepost na render zinafanana mkuu??? Yani hii ndio mnaita quality flyover?Mbn hinioneshi hicho kitu![]()
Naona hapa tuliongeza lanes zikawa 12Mkuu hii bado ni dar? alafu render ukiangalia chini iko na 4 loan road alafu hapa naona tu vumbi????
View attachment 1960440
So hii ndio bara bara ya hajabu uko bongo land,,,alafu background inakaa MogadishuNaona hapa tuliongeza lanes zikawa 12View attachment 1960466
Naona hapa tuliongeza lanes zikawa 12View attachment 1960466
Kwahiyo haya maelezo unayotoa ndio kitu ulitaka unioneshe🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo kitu nimepost na render zinafanana mkuu??? Yani hii ndio mnaita quality flyover?
Hii umeitoa wapi KeNHA au? 🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa unamlilia nani, nenda ukamlilie mamangina 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣So hii ndio bara bara ya hajabu uko bongo land,,,alafu background inakaa Mogadishu
We unanionyesha render za computer Mimi nakuletea ukweli kwa ground. Levels mzee.Hii hapa ni project nyingine haihusiani na ile ya Morogoro-Dodoma, hii inaitwa ring road itakuwepo pale Dom soon, usitake kulinganisha vumbi and low quality roads with classic roads za DomView attachment 1960402
Ina maana huoni ulichopost kwamba ujenzi ulikua unaendelea? Njoo DSM ukae hata mwezi moja upone macho, inaelekea huko Naipori hakuna lishe boraHiyo kitu nimepost na render zinafanana mkuu??? Yani hii ndio mnaita quality flyover?
Wewe ndiye mwenye jukumu la kuleta ushahidi, vipi unataka uletewe vielelezo?Give me the actual render of ubungo flyover interchange and the same ubungo after completion nikuonyeshe kitu!!!
Manze hii ni nini inakaa imechakaa ivi. Imagine this is the best flyover in danganyika.