Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unapigia mbuzi guitar bure 😂 😂 😂 😂 idiots are wired to listen to what pleases their deceived minds., ukweli ni dhulma kwa mtanzania., wahurumie wakue na wikendi njema angalau, usiwatese na ukweli.
wanukuletea data za 2018 alafu ukikuja na data za 2021 they argue that yao ya 2016 ndio reliable 🤣🤣🤣very useless minions
 
View From the Old Selander Bridge

IMG_1549.jpg

IMG_1548.jpg
 
Mambo ya kawaida hayo, lazma ufunzwe kukaa chonjo, huyo mchina alikuwa anawazingua kwani alijua akitoa mkono akiwa ameshikilia simu, itaenda tu. Alafu asiende 1960 au kayole akafanye huo ushoga wa teaser, niko 95% sure wanamwekelea mguu wa kuku wale vijana, ajiharie mara hiyo hiyo!
hakuna cha kawaida in reality mna maisha magumu kupitiliza,kwa hiyo location almost 60% ya watu ni vibaka kuanzia madereva wa daladala,boda boda n.k..

hao vibaka wangekuwa hapa bongo kwa jinsi wanavyotaka kuiba kizembe wangeshakuwa maiti,hao raia wa pembeni wasingewaachia.
 
Shukrani Mkuu, halafu nimeona wanaanza kutumia haya maeneo Vizuri. Juzi juzi Kinondoni walifanya Tamasha la ufukweni Pale Coco Beach kwenye mihogo.

Leo ilala wanafanya Ilala Kanivo, OKTOBOA pale Ufukweni karibu na Gumkhan. Jiji linaishi kwa sasa.

Bila kusahau vinjwaji natural kabia Madafu pia yalikuwepo.

View attachment 1960109

View attachment 1960110

View attachment 1960111
View attachment 1960112
View attachment 1960113
View attachment 1960114
View attachment 1960115
View attachment 1960116
Ila mihogo ya coco halafu ushushie na juice ya miwa
 
suala la internet users tuliishia wapi?

data nilizonazo inaonesha internet users ziko hiv
Tanzania = 29M
Kenya = 21.8M
Kenya ni Internet user uchwara wana beep tu ,yani wanawasha net dakika kumi uwaoni hata humu jf tunashuhudia ,mkenya hawezi kukaa online kwa masaa 8 kwa siku
 
Shukrani Mkuu, halafu nimeona wanaanza kutumia haya maeneo Vizuri. Juzi juzi Kinondoni walifanya Tamasha la ufukweni Pale Coco Beach kwenye mihogo.

Leo ilala wanafanya Ilala Kanivo, OKTOBOA pale Ufukweni karibu na Gumkhan. Jiji linaishi kwa sasa.

Bila kusahau vinjwaji natural kabia Madafu pia yalikuwepo.

View attachment 1960109

View attachment 1960110

View attachment 1960111
View attachment 1960112
View attachment 1960113
View attachment 1960114
View attachment 1960115
View attachment 1960116
aisee wawe wanafanya hivi mara kwa mara,tukawake kidogo
 
Shukrani Mkuu, halafu nimeona wanaanza kutumia haya maeneo Vizuri. Juzi juzi Kinondoni walifanya Tamasha la ufukweni Pale Coco Beach kwenye mihogo.

Leo ilala wanafanya Ilala Kanivo, OKTOBOA pale Ufukweni karibu na Gumkhan. Jiji linaishi kwa sasa.

Bila kusahau vinjwaji natural kabia Madafu pia yalikuwepo.

View attachment 1960109

View attachment 1960110

View attachment 1960111
View attachment 1960112
View attachment 1960113
View attachment 1960114
View attachment 1960115
View attachment 1960116

Usichoke kutupa uhondo aisee
 
😃😃Wao wanafikiri UCHUMI wa Tanzania 🇹🇿 umeshikiliwa na wageni Kama huko kwao.Mtanzania anaweza kuwa billionaire na usimjue we don't show off!
Shilling billionaire sio, njoo uwaone huku, na hawaringi! 🤣 🤣 🤣 🤣 MO pekee ndio anajulikana ni dollar billionaire hao wengine wa shillings mbone wengi tu Afrika hii
 
wakuu vifurushi vimerudi kwenye hali yake
zile side effect za tozo za miamala kuwa juu kuliko wenye mitandao zinaanza kuchipuka mdogo mdogo,

mitandao karibia yote imeshusha
IMG_20211002_132132.jpg
 
Shukrani Mkuu, halafu nimeona wanaanza kutumia haya maeneo Vizuri. Juzi juzi Kinondoni walifanya Tamasha la ufukweni Pale Coco Beach kwenye mihogo.

Leo ilala wanafanya Ilala Kanivo, OKTOBOA pale Ufukweni karibu na Gumkhan. Jiji linaishi kwa sasa.

Bila kusahau vinjwaji natural kabia Madafu pia yalikuwepo.

View attachment 1960109

View attachment 1960110

View attachment 1960111
View attachment 1960112
View attachment 1960113
View attachment 1960114
View attachment 1960115
View attachment 1960116
Hili eneo linavutia sana kwakweli.
 
Back
Top Bottom