Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Control tower na radar hapo Kisumu Airport viko wapi?

2949760_12585687_tapatalk1588540168758_jpeg_jpeg3994f8c33a0b88d154b5d38fa33615b3.jpeg
 
Hii hapa ni project nyingine haihusiani na ile ya Morogoro-Dodoma, hii inaitwa ring road itakuwepo pale Dom soon, usitake kulinganisha vumbi and low quality roads with classic roads za Dom[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1960402
We nayo na ujinga za animations!!!kwani ukipost vitu zimekuwa complete utakufa😄😄😄
 
We nayo na ujinga za animations!!!kwani ukipost vitu zimekuwa complete utakufa[emoji1][emoji1][emoji1]
Animation au sio, mnaumwa na maendeleo ya Tanzania[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
ni animations ama si animations [emoji1][emoji1][emoji1]???
Hiyo ni render ya jinsi itakavyokuwa, na nadhani cc mnatujua hatujawahi kwenda kinyume na render inavyotaka na tukisema tumesema, so endelea kusubiri maumivu zaidi yaja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyo ni render ya jinsi itakavyokuwa, na nadhani cc mnatujua hatujawahi kwenda kinyume na render inavyotaka na tukisema tumesema, so endelea kusubiri maumivu zaidi yaja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Give me the actual render of ubungo flyover interchange and the same ubungo after completion nikuonyeshe kitu!!!
 
Pale kuna crips za mihogo ni matata sana. Ni vitamu balaa vikiwa na pili pili. Siku nilienda pale nikavichukulia poa ila nilishangaa nilivyopiga mikono mingi kwenye kapaketi kuliko hata alie agiza.. [emoji1][emoji1]
Ndio raha ya kuishi kwenye nchi yenye option nyingi za vyakula.
Sio nchi zingine ni mwendo wa githeri na sukuma wiki tu.
 
Back
Top Bottom