Nani huyu mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Matusi na makasiriko ni ya nini😄😄😄,,,can we just have cool conversation
Mbona sisi tunakaa hadi 12hrs na mambo zinaendaKwani hatuna life ndo tukae mtandaoni masaa 8??
Haki ya mama ingechukua miaka mingi sn hii miradi ku come into reality




Fukiza wao wote! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Sasa mlikuwa mnapigania Uhuru for countries 100× more developed than Tanzania?? mko na shida kweli😄😄😄no wonder mnajifukiza adi national hospital
Sasa msikatae kwamba we are your benchmark.Bado ni Kenya lakini...makasiriko peleke gambosh!![]()
The fourth, fifth and sixth international airports are also coming up in Songwe, Mwanza and Dodoma.Let me teach you dogo,
Tz has Three active international airports with direct flights abroad,
Yaani you can fly from Rome direct to Zanzibar,
Or Fly Ditect from Amsterdam to Kilimanjaro,
Hapo Kenya only Nairobi and Nairobi is everything,
In terms of Airports, Roads, Technology tushawaacha kitambo sana mmebaki kupiga kelele kama wendawazimu.
We have a country large in size (2 times yours) with 31 Regions all connected with Quality Paved roads.
Apart from Nairobi old JKIA there is no Airport that comes close to Zanzibar International Airport,
And just to remind you Tz has large number of Airports than any EAC country
Naskia kule SA waliikomboa kinomanoma... Duh! Ka ni mimi mwanilipa! Angalia SA sahi! 🤣 🤣 🤣 🤣Hakuna Cha Moto mzee, that's the reality 😄😄😄😄you mean nothing was happening in Tanzania while you were fighting for ukombozi???
Ingekuwa mafikira ni ka ya wabongo kule mamtoni, basi sahi wangekuwa level moja na sisi... 😬😬😬🤦🏾♂️😂Sasa msikatae kwamba we are your benchmark.
Wewe ndiye ulikuwa unatujengea nn, mbone unajifanya kujua yaliyokuwa yakitendeka wakati huo ilhali ulikuwa bado kikojozi au hukuwepo kabisa! Acha bange kijana! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mlikuwa busy kujenga nchi, hivi ni nini mmejenga maana mbona hamna tofauti yoyote na nchi zingine za Africa?
Tena zingine zimewaacha mbali.
suala la internet users tuliishia wapi?
data nilizonazo inaonesha internet users ziko hiv
Tanzania = 29M
Kenya = 21.8M
Hawanaga ukabila eti, ata mm nimeona! 🤣 🤣 🤣 🤣Kiswahili ni lugha yetu ya taifa inayotuunganisha Watanzania wote bila kuwa na ukabila wa kijinga kama failed state karne ya 21.
Ndio maana mchina anawagonga atakavyo![]()
Embu weka hiyo in Kenyan Shillings waone jinsi wanavyopigwa huko kwao na monopoly.wakuu vifurushi vimerudi kwenye hali yake
zile side effect za tozo za miamala kuwa juu kuliko wenye mitandao zinaanza kuchipuka mdogo mdogo,
mitandao karibia yote imeshushaView attachment 1960188
Last time I checked, France was busy plating tress in their cities to reduce the heat, hadi parks za ku relax wana install AC pia, anyway kilaza ni kilaza tu, hata umsisitizie nn cha muhimu! 🤣 🤣 🤣 🤣I thought wengine wenyu wako na akili kidogo Kumbe wote ni team yanga na Simba 😄😄😄.many cities across the world are struggling to creat green spaces around their cities and your here trolling !!!
Na nyie mihogo tu, ndo maana malnutrition cases haziishi 😁Poor but hatupewi misaada ya chakula karne ya 21.
Ndio maana mnashindia mboga za majani![]()
Ati zinajitunza... 😂🤣🤣🤣Kwahiyo nairobi inatunza Green space
Majengo hakuna ni spaces gn mnatunza hebu tuambie, mnatunza au zinajitunza hizo spaces![]()
What are you even struggling to explain![]()
😂😂😂😂😂👇🤦🏾♂️Poor but hatupewi misaada ya chakula karne ya 21.
Ndio maana mnashindia mboga za majani![]()