Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Apart from kiswahili miiingi and trolling kwa ground there's no successful project in tanzania.am not biased like you,kwa brt na bridges ndio mmejaribu kidogo
Mlikuwa busy kujenga nchi, hivi ni nini mmejenga maana mbona hamna tofauti yoyote na nchi zingine za Africa?
Tena zingine zimewaacha mbali.
 
Apart from kiswahili miiingi and trolling kwa ground there's no successful project in tanzania.am not biased like you,kwa brt na bridges ndio mmejaribu kidogo
Kiswahili ni lugha yetu ya taifa inayotuunganisha Watanzania wote bila kuwa na ukabila wa kijinga kama failed state karne ya 21.
Ndio maana mchina anawagonga atakavyo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Airport, quality roads, technology, gdp, ports [emoji23][emoji23][emoji23]
Stupidi manki kwenye ubora wake.

Ndio maana tangu 1978 hadi 2017 mlijenga barabara km 4,000 tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Say what you want but hakuna kitu mko nayo ya maana ata wewe unajuwa🚮🚮
 
Nilisema ni suala la muda tu watalia pale kwenye toll za mchina kwa miaka 30 na zaidi nyinyi subirini muone maajabu [emoji16][emoji16][emoji16]
Mchina hawezj kujenga hiyo Expressway bila kuwa na guarantee ya mali nyingine hapo kenya au makubaliano maalum na serikali kuwa ikiwa Expressway haitaleta hela kwa rate wanayotaka basi govt of KE ibebe msalaba wa deni au itoe mali yoyote ya KE. Time will tell
 
You can't apply urbanization in Africa with European countries mzeee,,,for example Tanzania or DRC,urbanization happens becouse of poor infrastructure around rural areas and technology.take a look at Tanzania,land size almost twice that of Kenya but your cities and towns are still very slow quality standards compared to Kenya or Rwanda here in East Africa

Mythes Vs Facts [emoji3][emoji3][emoji3]
The Fact that Tz Towns and Cities got no slums like in Kunya, got reliable supply of clean water and electricity, reliable transport infrastructure, healthcare facilities etc,
And now that 83% of Tz villages are electrified just proves that you rely on your personal emotions and mythes to beat facts.
 
Sasa mlikuwa mnapigania Uhuru for countries 100× more developed than Tanzania?? mko na shida kweli[emoji1][emoji1][emoji1]no wonder mnajifukiza adi national hospital
Basi nishakujua mbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa kwa nini unakuja na ID nyingine, unaogopa nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tuko na ukabila yes but ikifika kwa development you just have to respect us on that
Development ndo mboga gani hapo failed state!

Miradi mnapigwa parefu daily ili muibiwe.
White elephant kila kona.
Kidogo kidogo Burundi nao watakuja kujenga barabara hapo failed state ili waimiliki kwa miaka kadhaa huku wakikusanya ushuru [emoji23][emoji23][emoji23]

Mnajengewa low quality.
Maghorofa yaanguka ovyo.
 
Mythes Vs Facts [emoji3][emoji3][emoji3]
The Fact that Tz Towns and Cities got no slums like in Kunya, got reliable supply of clean water and electricity, reliable transport infrastructure, healthcare facilities etc,
And now that 83% of Tz villages are electrified just proves that you rely on your personal emotions and mythes to beat facts.
So a place like mwanza is more developed than Nairobi because is doesn't have slums?uko na akili Ingine hama hii tu ndio umebaki nayo😄😄😄
 
Basi nishakujua mbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sasa kwa nini unakuja na ID nyingine, unaogopa nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Matusi na makasiriko ni ya nini😄😄😄,,,can we just have cool conversation
 
Everything,,,,what can you even compare? Airports? quality Roads? technology? GDP?Ports?

Let me teach you dogo,
Tz has Three active international airports with direct flights abroad,
Yaani you can fly from Rome direct to Zanzibar,
Or Fly Ditect from Amsterdam to Kilimanjaro,

Hapo Kenya only Nairobi and Nairobi is everything,
In terms of Airports, Roads, Technology tushawaacha kitambo sana mmebaki kupiga kelele kama wendawazimu.
We have a country large in size (2 times yours) with 31 Regions all connected with Quality Paved roads.
Apart from Nairobi old JKIA there is no Airport that comes close to Zanzibar International Airport,
And just to remind you Tz has large number of Airports than any EAC country
 
Development ndo mboga gani hapo failed state!

Miradi mnapigwa parefu daily ili muibiwe.
White elephant kila kona.
Kidogo kidogo Burundi nao watakuja kujenga barabara hapo failed state ili waimiliki kwa miaka kadhaa huku wakikusanya ushuru [emoji23][emoji23][emoji23]

Mnajengewa low quality.
Maghorofa yaanguka ovyo.
Tanzania is a very cool place with wrong people,,,see how this one reason now😄😄😄😄.Kama amkenguka mnaibiwa why are you still poor like Somalia?
 
Back
Top Bottom