Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jana nilikua hiyo mitaa hapako hiv now, pameshakamilika bado kuwekwa lami tu tena usishangangae November tu watu wakaanza kutumia hiyo barabara, tabaka la kwanza la lami nimeshawekwa+taa ndio wanamalizia kuweka, walk walys zilishakamilika, ule mwenge wa uhuru kwenye nguzo ndefu zaidi unakaribia kuisha ujenzi wake, wakenya wakae mao wa kula tu kwa usumbufu tutakao wapa kwa hii barabara, soon ikifunguliwa
ule mwenge utawaka?
 
Kwanza Kwa elimu niliyonayo mimi nadhani asilimia ya watanzania waliosoma wanaoweza ku-level up na mimi ni less than 15%. And I’m being fair. Tukitoa wizi wa kura, CCM huchukua asilimia kubwa Ya votes kutoka Kwa Wanawake ambao nina uhakika Kwa Tanzania wengi wao hata tertiary education hawana. Meaning hata mambo ya politics na rule of law hawaelewi. Kwa hiyo hata kama Angefanya jambo la Ajabu wao wangebaki kuwa mashabiki tu. Magufuli hao Ndio alichukua akili zao ukijumlisha na wanaume pia.

Pia Kwasababu elimu ni janga la taifa, political dialogues Kwa watanzania wengi ni kupinga na kutukana na kukamata wale ambao opinion zao ni tofauti. Hili jukwaa ni mfano mzuri wa jinsi ambavyo watanzania walikuwa brainwashed na uongozi wa Magufuli kiasi kwamba mtu yoyote aliyemkosoa baba yao alitukanwa.

Wewe unajimwambafai kuhusu elimu ilhali hina akili.

Hakuna wizi wa kura Tanzania. Hizi ni kelele za vyama vya upinzani kujifanya kuonewa wakati uhalisia ni kuwa, havikubaliki na hakuna mbadala wa CCM.

Chadema ni mjini tu. Chama leo wanasema hivi, kesho vile. Chama dakika za mwisho za uchaguzi wanachukua rejects za CCM na kuwapa nafasi kubwa ndani ya chama bila kuwatambua na kuwafanya wagombea wao wa urais. Watu walioo waaminisha Watanzania kuwa ni mafisadi.

Hakuna vyama vya upinzani Tanzania zaidi ya wahuni.
 
Kutoka Limuru kwenda joska Kamulu ni another 70km. Na Thika kwenda Kitengela 70km. Zote ni towns ambazo Nairobians wanacommute kila siku kwenda na kutoka cbd.
Nairobi metro imesambaaa kila eneo sio kama dar imezibwa na Indian Ocean pande moja.View attachment 1955925

Ni sawa na sisi tuseme high traffic kati ya Dar na Zanzibar au Dar na Morogoro over 190km basi tuseme Morogoro, Zanzibar, Bagamoyo, Kibaha, Chalinze zote hizi ni Dar metropolitan.
Ufala wa wakenya bwana
 
Wewe unajimwambafai kuhusu elimu ilhali hina akili.

Hakuna wizi wa kura Tanzania. Hizi ni kelele za vyama vya upinzani kujifanya kuonewa wakati uhalisia ni kuwa, havikubaliki na hakuna mbadala wa CCM.

Chadema ni mjini tu. Chama leo wanasema hivi, kesho vile. Chama dakika za mwisho za uchaguzi wanachukua rejects za CCM na kuwapa nafasi kubwa ndani ya chama bila kuwatambua na kuwafanya wagombea wao wa urais. Watu walioo waaminisha Watanzania kuwa ni mafisadi.

Hakuna vyama vya upinzani Tanzania zaidi ya wahuni.
Eti mtu anajinasibu kabisa kasoma alafu bila aibu anasema CCM imemuibia kura Chadema
 
Wale flowers wa mama wakiongozwa na Geza mripoti kwenye hii tweet mkamuokoe shoga enu wajuba wanamsulubu 😁😁😁
 
Hapo ni Kenya
itakua pwani., Mombasa ni mamake Dar, alizaa photocopy yake 😂 😂 pia zile nyumba zenu za Kiswahili, zinafanana 😂 😂 , ila mwanawe ambaye ni Dar kanona mashavu, liko wazi kabisa, heshimu mama ya Dar(Mombasa) 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Gezaulole na makahaba wenzio mna ujumbe wenu huku murua kabisa kwa shoga enu ambae anakoelekea atakua admitted Mirembe soon 😁😁😁

Wewe unajimwambafai kuhusu elimu ilhali hina akili.

Hakuna wizi wa kura Tanzania. Hizi ni kelele za vyama vya upinzani kujifanya kuonewa wakati uhalisia ni kuwa, havikubaliki na hakuna mbadala wa CCM.

Chadema ni mjini tu. Chama leo wanasema hivi, kesho vile. Chama dakika za mwisho za uchaguzi wanachukua rejects za CCM na kuwapa nafasi kubwa ndani ya chama bila kuwatambua na kuwafanya wagombea wao wa urais. Watu walioo waaminisha Watanzania kuwa ni mafisadi.

Hakuna vyama vya upinzani Tanzania zaidi ya wahuni.
Ukitaka kujua kwamba Tanzania hakuna strong opposition angalia kwenye nafasi za juu za hivyo vyama kuna watu wa aina gani.
1. CHADEMA - Freeman Mbowe
2. CUF - Ibrahimu Lipumbavu
4. NCCR - James Mbatia
5. ACT - Zitto Kabwe
5. TLP - Augustine Mrema
6. UDP - John Cheyo
7. UPDP - Fahmi Dovutwa

Kwa hiyo list viongozi wakuu wa vyama vya upinzani hapa TZ unapata picha gani? Kweli opposition parties wapo serious kuindoa CCM madarakani? Viongozi wamefanya vyama vya siasa kama mali ya familia yao. Wengine mpaka wanakaribia kutembea kwa mkongojo lakini wapo tu, hakuna kuandaa vijana kwa ajili ya kuendeleza vyama hivyo. Vyama vingi havina mpango wa kuongoza nchi vipovipo tu na sijui hata kama vina Ilani ya uchaguzi na kama ipo nayo itakuwa ni kubabaisha tu.

CCM WAKIONA HIVI LAZIMA WAFURHIE MAANA HAKUNA THREAT YOYOTE YA KUTOLEWA MADARAKANI NA YYAMA VYA UPINZANI
 
IMG_2767.jpg

IMG_2760.jpg

IMG_0262.jpg

IMG_1434.jpg

IMG_1433.jpg

IMG_1436.jpg

IMG_1435.jpg

University of Dar es Salam
 
most developed countries have toll roads, i dont think someone from a lower income country ataelewa this things. its like trying to explain to someone amezoea free to air TV that in mordern countries people pay to watch TV atashangaa sana (cable tv)

Most Expensive Toll Roads in the USA
  • Whiteface Mountain Memorial Highway in New York - $1.25 per mile.
  • 17 Mile Drive in California - $0.59 per mile.
  • Chicago Skyway in Illinois - $0.51 per mile.
  • Fort Bend Parkway in Texas - $0.51 per mile.
  • Delaware Turnpike in Delaware - $0.29 per mile.
Kwa hiyo nanyi sawa na USA? Juzi petrol na diesel vimepanda kidogo kelele kuanzia kariobangi mpaka kisumu,acha hizo ,wananchi wa kawaida wanaumia.
 
Back
Top Bottom