Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So hao Watz 84% wote walikuwa wajinga kwamba hawakuona kinachofanyika, ila nyie 16% ndiyo pekee mlikuwa na akili.

Mtapinga sana mwishowe tutaongea lugha moja, mlianza kusema alikuwa hakubaliki now mnasema alikubalika na 84% mwishowe mtakubali ukweli kwamba alithubutu akaweza now tunaenjoy matunda ya uthubutu wake.
Kwanza Kwa elimu niliyonayo mimi nadhani asilimia ya watanzania waliosoma wanaoweza ku-level up na mimi ni less than 15%. And I’m being fair. Tukitoa wizi wa kura, CCM huchukua asilimia kubwa Ya votes kutoka Kwa Wanawake ambao nina uhakika Kwa Tanzania wengi wao hata tertiary education hawana. Meaning hata mambo ya politics na rule of law hawaelewi. Kwa hiyo hata kama Angefanya jambo la Ajabu wao wangebaki kuwa mashabiki tu. Magufuli hao Ndio alichukua akili zao ukijumlisha na wanaume pia.

Pia Kwasababu elimu ni janga la taifa, political dialogues Kwa watanzania wengi ni kupinga na kutukana na kukamata wale ambao opinion zao ni tofauti. Hili jukwaa ni mfano mzuri wa jinsi ambavyo watanzania walikuwa brainwashed na uongozi wa Magufuli kiasi kwamba mtu yoyote aliyemkosoa baba yao alitukanwa.
 
Tatizo scope pekee ya mapungufu ya demokrasia unayoangalia ni Utekelezaji wa mipango ya nchi. Kwamba, kama angeruhusu opinions za watu wengine basi asingeweza kukamilisha mipango yake. Lakini Unadhani kuwa kila mpango wa Magufuli una tija na feasibility? Mfano ni issue ya Chato. Sehemu ambayo hata kwenye map haionekani Kwa urahisi Mara ghafla anataka kujenga international airport, a major district hospital, a stadium etc.. Lakini uwekezaji wote huo ni hasara Tupu! Kama demokrasia ingekuwepo na maswala haya yakafanyiwa majadiliano bungeni na upinzani ukatoa hoja zao, basi hasara hiyo isingetokea. Lakini kwasababu alikuwa Dikteta, lolote alilopenda Moyoni mwake alilifanya.
Magufuli hakujenga chato pekee alijenga nchi nzima, hata zile sehemu zilizosahaulika kama barabara ya kasulu - Kibondo nako pia aliweka mikakati ya ujenzi.
Na pia mapungufu ya demokrasia kwenye uongozi wake yalionea watu wote waliompinga. Hata humu mtu yoyote aliyeongea hata sentensi moja ya kumkosoa Magufuli alikuwa bullied (absolute psychopathy). Uhuru wa kujieleza ulishuka, uhuru wa vyombo vya habari Ndio hata usiseme. Kiufupi, everything was a mess. Lakini majority ya watanzania, say, 84% walikuwa bega Kwa bega na udiketa wake. Why? Mass manipulation.
Neno demokrasia halimaanishi tuu uhuru wa raia kutoa maoni yao, linajumuisha pia uhuru wa nchi kusimama kama nchi. Kuwa na sauti ya kusema, tunajenga bwawa ili wananchi wetu waweze kununua umeme kwa bei rahisi. Kuweza kusema madini yetu yanatakiwa kunufaisha watu wetu na kuweka sheria za kufanikisha hilo.
 
Kwanza Kwa elimu niliyonayo mimi nadhani asilimia ya watanzania waliosoma wanaoweza ku-level up na mimi ni less than 15%. And I’m being fair. Tukitoa wizi wa kura, CCM huchukua asilimia kubwa Ya votes kutoka Kwa Wanawake ambao nina uhakika Kwa Tanzania wengi wao hata tertiary education hawana. Meaning hata mambo ya politics na rule of law hawaelewi. Kwa hiyo hata kama Angefanya jambo la Ajabu wao wangebaki kuwa mashabiki tu. Magufuli hao Ndio alichukua akili zao ukijumlisha na wanaume pia.

Pia Kwasababu elimu ni janga la taifa, political dialogues Kwa watanzania wengi ni kupinga na kutukana na kukamata wale ambao opinion zao ni tofauti. Hili jukwaa ni mfano mzuri wa jinsi ambavyo watanzania walikuwa brainwashed na uongozi wa Magufuli kiasi kwamba mtu yoyote aliyemkosoa baba yao alitukanwa.
Hili neno lako la kwanza uliloanza nalo ushaaribu, kwamba unadhani wewe ni bora zaidi ya wengine? Basi kama ni bora ishi dunia ya peke yako.

Hao mitume na manabii licha ya kupewa nguvu na upeo uliotukuka lkn bado hawakujiona bora kuliko wengine. Mungu aliwahi kumwambia Mussa asijione yeye ni bora zaidi ya wengine kisa tu mwenyezi Mungu alimfanya kuwa karibu naye.

Huo uwezo, akili na elimu uliyonayo ambayo wewe unasema ni zaidi ya watanzania wote haviwezi kukusaidia kama una fikra na majigambo ya namna hii.

Hio elimu uliyonayo ambayo unasema ni zaidi ya wengine uliipata kutokana na michango ya hao hao unaozani wewe hustahili kulinganishwa nao, so stuka na uwache kwanza majigambo na kiburi zen uwasilishe mchango wako, hapo utaeleweka lkn kwa style unayotaka kwenda nayo hata cc tusio na elimu tutaanza ku question elimu yako au tuta conclude kwamba ni kweli umesoma lkn elimu yako haijakusaidia.
 
Magufuli hakujenga chato pekee alijenga nchi nzima, haha zile sehemu zilizosahaulika kama barabara ya kasulu - Kibondo nako pia aliweka mikakati ya ujenzi.

Neno demokrasia halimaanishi tuu uhuru wa raia kutoa maoni yao, linajumuisha pia uhuru wa nchi kusimama kama nchi. Kuwa na sauti ya kusema, tunajenga bwawa ili wananchi wetu waweze kununua kwa bei rahisi. Kuweza kusema madini yetu yanatakiwa kunufaisha watu wetu na kuweka sheria za kufanikisha hilo.
Kuna sehemu nimeandika kuwa Magufuli hakujenga nchi nzima? Ulichoandika ni full of HYPOCRISY na COWARDICE. Unaona tatizo lipo lakini unazungukazunguka kuweka hoja zisizo na msingi. Kwa nini usikubali tu kuwa uongozi wake ulikuwa na dosari?
 
Kuna sehemu nimeandika kuwa Magufuli hakujenga nchi nzima? Ulichoandika ni HYPOCRISY na COWARDICE. Unaona tatizo lipo lakini unazungukazunguka kuweka hoja zisizo na msingi. Kwa nini usikubali tu kuwa uongozi wake ulikuwa na dosari?
Dosari zilikuwepo hazikataliwi na zitasemwa, yule hakuwa Mungu kwamba asikosee lkn dosari chache haziwezi ku conclude eti alikuwa hovyo kitu ambacho sio kweli, hatuwezi kukubali sera za wabinafsi wachache kulazimisha mtu achafuke kisa tu aligusa maslahi yao ovu kwa nchi.
 
MY TAKE
Hawa jamaa waikuwa wanatandika biashara mpaka mlangoni kwa wenye maduka walipa kodi wakuu!
Kama kweli serikali iko fair basi pia wayaondoe mabango makubwa yaliyo katikati mwa barabara. Kinachotakiwa kuwa katikati ya barabara ni road signs tuu, sio mabango makubwa ya biashara yanayo distract motorists.
 
Hili neno lako la kwanza uliloanza nalo ushaaribu, kwamba unadhani wewe ni bora zaidi ya wengine? Basi kama ni bora ishi dunia ya peke yako.

Hao mitume na manabii licha ya kupewa nguvu na upeo uliotukuka lkn bado hawakujiona bora kuliko wengine. Mungu aliwahi kumwambia Mussa asijione yeye ni bora zaidi ya wengine kisa tu mwenyezi Mungu alimfanya kuwa karibu naye.

Huo uwezo, akili na elimu uliyonayo ambayo wewe unasema ni zaidi ya watanzania wote haviwezi kukusaidia kama una fikra na majigambo ya namna hii.

Hio elimu uliyonayo ambayo unasema ni zaidi ya wengine uliipata kutokana na michango ya hao hao unaozani wewe hustahili kulinganishwa nao, so stuka na uwache kwanza majigambo na kiburi zen uwasilishe mchango wako, hapo utaeleweka lkn kwa style unayotaka kwenda nayo hata cc tusio na elimu tutaanza ku question elimu yako au tuta conclude kwamba ni kweli umesoma lkn elimu yako haijakusaidia.
Nilivyoandika hoja yangu sikuwa na lengo la kujiona bora kuliko wengine. Lakini hata hivyo, tatizo liko wapi nikisema elimu yangu ni ya juu? Kwani ni uongo? Lengo langu ni kukuonyesha kuwa kuna tofauti Kati ya uwezo wangu wa kufikiri compared to an average Tanzanian. Mimi Sio shabiki wa vyama vya siasa lakini natazama sera na mwenendo wa vyama na viongozi wao kutambua implications zinazoweza kutokea wakiwa madarakani.
 
Dosari zilikuwepo hazikataliwi na zitasemwa, yule hakuwa Mungu kwamba asikosee lkn dosari chache haziwezi ku conclude eti alikuwa hovyo kitu ambacho sio kweli, hatuwezi kukubali sera za wabinafsi wachache kulazimisha mtu achafuke kisa tu aligusa maslahi yao ovu kwa nchi.
Ah wapi. Acha uongo. Sio nyie mliokuwa mnasema kuwa wanaomkosoa Magufuli Sio wazelendo? Sijawahi kuona reply yako hata moja iliyokosoa uongozi wa magufuli. Tafadhali kuwa realistic.
 
Kama kweli serikali iko fair basi pia wayaondoe mabango makubwa yaliyo katikati mwa barabara. Kinachotakiwa kuwa katikati ya barabara ni road signs tuu, sio mabango makubwa ya biashara yanayo distract motorists.
Hilo nalo ni shida! pale Manzese na Ubungo pedestrian overpasses zimejaa mabango ambayo ni hatarishi kwa watembea Miguu na magari chini! Kunapaswa kuwekwa sheria za mabango na viwango vinavyokubalika!
 
Ah wapi. Acha uongo. Sio nyie mliokuwa mnasema kuwa wanaomkosoa Magufuli Sio wazelendo? Sijawahi kuona reply yako hata moja iliyokosoa uongozi wa magufuli. Tafadhali kuwa realistic.
Unasema una elimu kubwa wakati 90% ya muda wako unatumia kumzungumzia marehemu, hiyo ni akili au mavi? Una ids nyingi lengo ni kumnanga tu marehemu asieweza hata kuhisi, lengo lako ni kuharibu uzi! Kwani Huwezi kumsifia Samia bila kumzodoa mtu asiekuepo duniani?
 
Kwanza Kwa elimu niliyonayo mimi nadhani asilimia ya watanzania waliosoma wanaoweza ku-level up na mimi ni less than 15%. And I’m being fair. Tukitoa wizi wa kura, CCM huchukua asilimia kubwa Ya votes kutoka Kwa Wanawake ambao nina uhakika Kwa Tanzania wengi wao hata tertiary education hawana. Meaning hata mambo ya politics na rule of law hawaelewi. Kwa hiyo hata kama Angefanya jambo la Ajabu wao wangebaki kuwa mashabiki tu. Magufuli hao Ndio alichukua akili zao ukijumlisha na wanaume pia.

Pia Kwasababu elimu ni janga la taifa, political dialogues Kwa watanzania wengi ni kupinga na kutukana na kukamata wale ambao opinion zao ni tofauti. Hili jukwaa ni mfano mzuri wa jinsi ambavyo watanzania walikuwa brainwashed na uongozi wa Magufuli kiasi kwamba mtu yoyote aliyemkosoa baba yao alitukanwa.

Hayo ni maoni yako tu Mkuu, hayo maoni yako ndio kipimo tu cha uelewa wako wa mambo, wala sio kipomo cha uelewa, machaguo, au namna wengine wanaona mambo,
Uelewa wako sio kwamba ndio utumike kubenchmark what is right and wrong,
People see things in a different way and there is no right way of seeing things.
Una uhuru wa Kutoa maoni anyway.
 
Hili neno lako la kwanza uliloanza nalo ushaaribu, kwamba unadhani wewe ni bora zaidi ya wengine? Basi kama ni bora ishi dunia ya peke yako.

Hao mitume na manabii licha ya kupewa nguvu na upeo uliotukuka lkn bado hawakujiona bora kuliko wengine. Mungu aliwahi kumwambia Mussa asijione yeye ni bora zaidi ya wengine kisa tu mwenyezi Mungu alimfanya kuwa karibu naye.

Huo uwezo, akili na elimu uliyonayo ambayo wewe unasema ni zaidi ya watanzania wote haviwezi kukusaidia kama una fikra na majigambo ya namna hii.

Hio elimu uliyonayo ambayo unasema ni zaidi ya wengine uliipata kutokana na michango ya hao hao unaozani wewe hustahili kulinganishwa nao, so stuka na uwache kwanza majigambo na kiburi zen uwasilishe mchango wako, hapo utaeleweka lkn kwa style unayotaka kwenda nayo hata cc tusio na elimu tutaanza ku question elimu yako au tuta conclude kwamba ni kweli umesoma lkn elimu yako haijakusaidia.

Mpumbavu huyo achana nae . Watu kama hao unakuta hata life personal linampiga, na unakuta hata familia tu hawezi kuimudu kuiongoza ila ajabu unakuta anaamini nae ana maajabu kichwani. Dunia ina mambo
 
Nilivyoandika hoja yangu sikuwa na lengo la kujiona bora kuliko wengine. Lakini hata hivyo, tatizo liko wapi nikisema elimu yangu ni ya juu? Kwani ni uongo? Lengo langu ni kukuonyesha kuwa kuna tofauti Kati ya uwezo wangu wa kufikiri compared to an average Tanzanian. Mimi Sio shabiki wa vyama vya siasa lakini natazama sera na mwenendo wa vyama na viongozi wao kutambua implications zinazoweza kutokea wakiwa madarakani.

Yes kuna Tatizo, inawezekana hata hujui unaongelea nini,

Unaposema una elimu ya juu unamaanisha kwenye area ipi?

Elimu ni neno pana sana it goes far beyond academic excellence. Sijui kama
Vyeti vya Shule karibu kila mtu anavyo, mimi mwenyewe Nina vyeti vya taasisi za juu vya science ambavyo ni very clean, na nina record nzuri ya recognitions kwenye safari yangu ya Shule.
Kufaulu masomo na kuelimika ni vitu viwili tofauti.
 
Kwa mwenye akili timamu atajua magu mwenyewe alijijua kama yapo mabaya yake na ndio maana alikiri hamtanikumbuka kwa mabaya yangu bali mazuri, kama binadamu yeyote yule lazima ufanye mistakes kwenye maisha no one's perfect lakini katika utendaji wake serikalini mabaya yake ni 10% na mazuri ni 90% asa we kahaba unaetaka kufanya vice versa lazima utakua punguani

images - 2021-09-28T082144.618.jpeg
 
Mtu akifika Dar akaona style ya Ujenzi wa Magorofa ya Dar akarudi na Nairobi ndio atajua kuwa magorofa yao ni ya udongo..

This fact ni kwa sababu wakenya wachache ndio wanamiliki ardhi na hao wengine hawana uwezo wa kumiliki ardhi na kujenga nyumba zao, labda watoke Nairobi, matokeo yake wale wenye ardhi wanaamua kujenga nyumba ilirimradi watu wengi watakaa...

Asilimia 90 ya hizi residential builiding Kenya havipakwi rangi, wala hawaweki madirisha ya ukubwa wa kutosha ili wajenge vyumba vingi vidogo vidogo... Unakuta Ghorofa lakini mfumo wa maji taka haufanyi kazi, asubuhi wapangaji wanaanza kuzibua yaende kwenye barabara ya inayotumika na watu...

Kenya ujenzi wa hizi residential building hauitaji kibali cha Serikali ya wewe unajenga tu
 
Back
Top Bottom