Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutoka Limuru kwenda joska Kamulu ni another 70km. Na Thika kwenda Kitengela 70km. Zote ni towns ambazo Nairobians wanacommute kila siku kwenda na kutoka cbd.
Nairobi metro imesambaaa kila eneo sio kama dar imezibwa na Indian Ocean pande moja.
Screenshot_20210928-123036.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20210928-125353.jpg
    Screenshot_20210928-125353.jpg
    79.9 KB · Views: 6
kabisa yaani hakuna,upo sahihi sana sijui kwanin kwanini hiyo city ya dar iko ivo kwanini wasituige sisi wakenya venye tunafanya kwani tuko very classic kwa hii world.
Kutoka Limuru kwenda joska Kamulu ni another 70km. Na Thika kwenda Kitengela 70km. Zote ni towns ambazo Nairobians wanacommute kila siku kwenda na kutoka cbd.
Nairobi metro imesambaaa kila eneo sio kama dar imezibwa na Indian Ocean pande moja.
Screenshot_20210928-125353.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20210928-123036.jpg
    Screenshot_20210928-123036.jpg
    69.4 KB · Views: 8
Weka nizihesabu na floors zote..., Dar tunaijua., deceptive perspective..,
View attachment 1955897
Eti three times Nairobi.., 😂 😂 😂 😂 ..,
View attachment 1955903
Unajaribu kunikimbia lakini ntakukamata tu huna ujanja mana unalazimisha kijani iwe njano .. mfano 👇
Screenshot_20210928-125430_1.jpg
hii picha Ina gorofa zaidi ya thelasini hapo na karibu zote ni above 10 floors, na hii picha ni ya zamani, kwasasa hapo kuna gorofa za kuzidi ndio mana nakwambia kk ina gorofa nyingi than all ur CBDs combined, ukibisha leo tuzihesabu, CBDs in NAIROBI ni empty sana kulinganisha na Dar bro in terms of buildings labda mapori Ila majumba.. leta picha ya CBDs zenu tuhesabu idadi gorofa zenu Ili tulinganishe na kk
 

NIT signs pact on buildings at key airports


NIT PIC




Alex pic

By Alex Nelson Malanga
More by this Author

Dar es Salaam. The National Institute of Transport (NIT) and TRES Consult (T) Limited have inked an agreement that wills see the latter conducting an Environmental and Social Impact Assessment (ESIA) for the former’s proposed construction of key buildings at two international airports.

The proposed Centre of Excellence in Aviation and Transport Operations buildings and facilities will be built at Dar es Salaam’s Julius Nyerere International Airport (JNIA) and Kilimanjaro International Airport (KIA).

The World Bank is financing the project under the East Africa Skills for Transformation and Regional Integration Project (EASTRIP).

The goal is to increase access and improve the quality of Technical and Vocational Education and Training (TVET) programs in selected centres to support regional economic corridors.

The signing seeks to ensure that the project execution was in compliant with all key stakeholders, including the government through National Environmental Management Council (Nemc) and the World Bank.

NIT Rector Prof Zacharia Mganilwa exuded confidence that TRES Consult (T) Limited would undertake the assignment up to their satisfaction.

NIT Deputy Rector (Academic, Research and Consultancy), Dr Prosper Mgaya shared similar sentiments.

“We confidently believe that TRES Consult (T) Limited will complete the work given on time so as to pave the way for other activities under the project to continue as planned.”

According to the centre manager for the Centre of Excellence in Aviation and Transport Operations (CoEATO)’s at NIT, Mr Abubakar Noor a total of four buildings would be constructed whereby one will be at JNIA while three will be at KIA.

The buildings, which will include aircraft hangars, will give good experience training to students undertaking aircraft engineering courses.
TRES Consult (T) Limited Managing Director Bashiru Abdul promised to undertake the work diligently and accordingly with the agreement that we have signed here.




MY TAKE
Huu mradi ulichelewa sana sijui kwann? naona sasa change of leadership ministry of works and infrastructure inasaidia!
 

Jana nilikua hiyo mitaa hapako hiv now, pameshakamilika bado kuwekwa lami tu tena usishangangae November tu watu wakaanza kutumia hiyo barabara, tabaka la kwanza la lami nimeshawekwa+taa ndio wanamalizia kuweka, walk walys zilishakamilika, ule mwenge wa uhuru kwenye nguzo ndefu zaidi unakaribia kuisha ujenzi wake, wakenya wakae mao wa kula tu kwa usumbufu tutakao wapa kwa hii barabara, soon ikifunguliwa
 
Unajaribu kunikimbia lakini ntakukamata tu huna ujanja mana unalazimisha kijani iwe njano .. mfano 👇View attachment 1955921hii picha Ina gorofa zaidi ya thelasini hapo na karibu zote ni above 10 floors, na hii picha ni ya zamani, kwasasa hapo kuna gorofa za kuzidi ndio mana nakwambia kk ina gorofa nyingi than all ur CBDs combined, ukibisha leo tuzihesabu, CBDs in NAIROBI ni empty sana kulinganisha na Dar bro in terms of buildings labda mapori Ila majumba.. leta picha ya CBDs zenu tuhesabu idadi gorofa zenu Ili tulinganishe na kk
Anza kuhesabu hapa., sio old CBD wala Westlands, Kilimani or UpperHill, hizi nakuondolea., nakupa hizi areas tu.., anza kuhesabu tuone..,
Ngara
2842789_3a5d37d3ea51d7c0715ca7657e7e6595.jpg

Kisha teremka uende na Eastleigh.., na hii 👇 👇 ni kasehemu tu..,
2842782_Screenshot_20210616-0217583.png

2842784_Screenshot_20210616-0214362.png

Pitia na Parklands..,
Parklands
1632826001219.jpeg

Kisha ujePangani..,
Pangani.,
2842807_Screenshot_20210616-0233432.png

Malizia eastlands..,
2842777_1626269364362.png


NO CBD, NO WESTY, NO KILIMANI, and NO UPPERHILL.., na bado kuna concrete jungles.., 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Nyie mko tu na area moja...,
 
nice one! Ukisema kitu kuna watu mabingwa wa kuku-count out! Kuna Deep Learning and smart Learning pia! All needs ML pia neural Network as foundation! Wakati mwingine mabifu yana enlight watu..! 🤣🤣😀😀
tunakuelewa Geza wengine hatutaki kutukanwa ila kuna ujinga mwingi humu.
 
Mkuu hata maendeleo ya kila jambo hayajatokea overnight . Ndio maana tulipokua o'level tulisoma Dalton atomic theory japokua alikua wrong. Hata simu unayotumia wanaupgrade kuanzia OS whether it's android or IOS na application sana update frequently . Likewise kwa vitambulisho idea ilikua nzuri we need to upgrade that ID hadi iwe integrated wafanyabiashara wadogo waweze kupata may be health insurance na baadae wajiunge na social security fund. Inabidi tuwe positive na kusaidia wazo likue hata elon mask hayupo peke yake kwenye lab zake. Maendelo hayawezi tokea tu . Ni stage by stage or step by step. Don't criticize everything
Magufuli alitakiwa a-consult wataalamu na si kujiamulia ku-print! Kwa taarifa yako ule mradi alipewa inner circle ya Magufuli atengeneze vitambulisho vile! kwa jinsi vilivyo haviwezi kuwa upgraded hivyo unavyodai. Kuna upigaji msione tunakaa kimya humu. Magufuli hakuwa msafi hivyo wizi ulikuwa unafanyika na kwa innercircle wake bila kuhojiwa.
 
Hiyo biashara imepitwa na wakati sasa tutaanza kulazimisha watu kuvaa barakoa hata kama kovidi hakuna si unaona chanjo watu wamechoma ila mzungu kalazimisha wave barakoa hata kama wamechanjwa maana hiyo ni biashara imesha jengewa na viwanda huko ulaya
 
Unajaribu kunikimbia lakini ntakukamata tu huna ujanja mana unalazimisha kijani iwe njano .. mfano 👇View attachment 1955921hii picha Ina gorofa zaidi ya thelasini hapo na karibu zote ni above 10 floors, na hii picha ni ya zamani, kwasasa hapo kuna gorofa za kuzidi ndio mana nakwambia kk ina gorofa nyingi than all ur CBDs combined, ukibisha leo tuzihesabu, CBDs in NAIROBI ni empty sana kulinganisha na Dar bro in terms of buildings labda mapori Ila majumba.. leta picha ya CBDs zenu tuhesabu idadi gorofa zenu Ili tulinganishe na kk
Kamwe siwezi tamani Nairobi pakue hivi 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Dar is Slum, flats kwa wingi kati kati ya CBD.., kha! hii ndio unasema 3 times Nairobi 😂 😂 😂 😂
1632827401743.png


Wacha tubaki tu na density ya Mombasa yetu ilivyo.., antique.
1632827705245.jpeg

1632827783197.png

1632827837687.png

1632827813563.jpeg

1632827548089.png

1632827579702.png
 
Back
Top Bottom