Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Unakimbia point yangu mzee, nakwambia hiv kk pekee Ina gorofa nyingi kuliko CBDs zenu zote tatu combined kama unabisha tuhesabu gorofa zilizopo CBDs zenu vs kk. Nikaongeza nikasema labda urefu na thamani ya baadhi ya majengo yenu ndio vinaeza vikajitoa kimasomaso lakini kwa idadi ya majengo ya gorofa kk haina mpinzani CBDs zenu zote tatu zinakalishwa na kk kwa idadi ya gorofa zilizopo.. bisha na hii nikutie aibuEastleigh tu.., π π π π π ., napenda mnavyojikweza ili muonekane.., ikija Dar haunidanganyi kamwe.., ukubwa wa Dar ni uswazi tupu, kariokoo ni kajisehemu mmekusanya vigorofa., giving a false perspective eti density..., weka wide angle aerial view nikuonyeshe kitu., π π π π π π ..,
