Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua nn kuhusu API, let alone ML & AI...ww utalaam wako upo kwenye ku copy na kupaste post za wenzio twiter na youtube...
ukiacha ku copy and paste ur empty, huna content( try to do so uone)...ndo maana watu wana ku ingnore, so ht mimi baada ya leo kukumbusha kua haujui kila kitu ntaku ingnore coz nimegundua hurekebishiki, your ego is to big to swallow your stupidit.
Baada ya kukukatalia ku-share my Github account sio! Fool wa ku-idiolize upumbavu wa id za mwendazake! Nikupe account yangu with all my projects! Seriously? Baki na mihemko yako ya APIs bwege wa ids za Magufuli! 😂🤣🤣
 
Baada ya kukukatalia ku-share my Github account sio! Fool wa ku-idiolize upumbavu wa id za mwendazake! Nikupe account yangu with all my projects! Seriously?
Github kuna projects nyingi na kubwa sana ambazo ni public, watu wamezishare...ila kwakua ht account huna or projects then unaona issue ku share projects...na km unazo huwezi kushare uliziweka Github za nn?uzitagie mayai? Au unahisi Github ilianzishwa kwa madhumuni gani?
Au ulidhani namaanisha kuhusu account?...muda wote upo bze ku copy na ku paste muda wa ku work on a project una upata wapi?it was just a joke madam
 
Unajua nn kuhusu API, let alone ML & AI...ww utalaam wako upo kwenye ku copy na kupaste post za wenzio twiter na youtube...
ukiacha ku copy and paste ur empty, huna content( try to do so uone)...ndo maana watu wana ku ingnore, so ht mimi baada ya leo kukumbusha kua haujui kila kitu ntaku ingnore coz nimegundua hurekebishiki, your ego is to big to swallow your stupidit.
FYI jioni hii kuna kitu nilikuwa nafanya kinahusiana na REST API kwenye Azure Cloud (data engineering)!
 
Github kuna projects nyingi na kubwa sana ambazo ni public, watu wamezishare...ila kwakua ht account huna or projects then unaona issue ku share projects...na km unazo huwezi kushare uliziweka Github za nn?uzitagie mayai? Au unahisi Github ilianzishwa kwa madhumuni gani?
its my choice i share my repositories with my clients! wewe unanisaidia nini mpaka nikuonyeshe ninachofanya au nilichofanya?
 
Github kuna projects nyingi na kubwa sana ambazo ni public, watu wamezishare...ila kwakua ht account huna or projects then unaona issue ku share projects...na km unazo huwezi kushare uliziweka Github za nn?uzitagie mayai? Au unahisi Github ilianzishwa kwa madhumuni gani?
Au ulidhani namaanisha kuhusu account?...muda wote upo bze ku copy na ku paste muda wa ku work on a project una upata wapi?it was just a joke madam
Screenshot 2021-09-26 231410.jpg
 
Ninachoweza kukusaidia ni kukupa some refernce if u want to learn ML with respect to AI! Ila fala kama wewe uliyekuja na speed za API ukakuta ni vitu vinafahamika siwezi ku-share my GitHub account. BTW nina mpaka jenkins account pia!
 
kwenye hili swala mtazamo wangu upo kivingine na ninajua masoko kama ya machinga complex yako siku nyingi hata kabla JPM hajaja madarakani na wamachinga waligoma kwenda pale na JPM aliwakingia kifua akijidai mtetezi wa wanyonge huku wakivunja taratibu! Kiufupi alikuwa controversial!
Hapana mkuu, kuhusu Machinga complex ni tofauti kabisa, lile lilikamilika enzi za Kikwete na ilishindikana wamachinga kuhamia pale enzi za Kikwete kutokana na mpangilio wa hovyo wa mkataba wa ujenzi ulioingiwa na halmashauri ya Ilala, Kikwete mwenyewe alishindwa.

Kiufupi ni kwamba, mkopo uliotumika na jinsi ya kulipa huo mkopo ni mzigo mkubwa kwa serikali, sio rahisi kwa machinga kulipa Kodi ya vizimba ni kubwa mno, Magufuli alipoingia madarakani pia aliona hilo tatizo Kama alivyoliona Kikwete na akakataa wamachinga kubeba uzembe uliofanywa na hamashauri ya Ilala.

Masoko yote aliyojenga Magufuli akiwa madarakani, na vituo vya mabasi, wamachinga na mama lishe wamepewa kipaumbele kikubwa Sana. Vitambulisho vya Magufuli vinampa uhuru machinga ya Kisutu kuhamia soko la Magomeni, au soko lolote bila kubughudhiwa au kulipa ada au Kodi yoyote Ile.
 
Ngoja tuone time will tell masoko yako na sehemu za biashara kila mkoa na wilaya itatenga! Ninachokiona watenda halafu watarudi barabarani! kwanza kuwaondoa itakuwa kimbembe! Na sababu ni yule mtetezi wa wanyonge!
 
Wakenya oneni sisi watanzania jinsi elimu ilivyotusaidia, kazi imefanywa na kampuni ya kizalendo kwa pesa za ndani, tuliwaambia tukianza kuzindua msiseme hatukuwaambiaView attachment 1953786
Unashangaa shangaa namanbo tulishayazoea zamani, nanyi zoea kuona barabara kimya kimya, ushamba punguza, eti akili, taifa liko kwa life support machine, kisa propaganda😂😂😂😂😂
 
Hapana mkuu, kuhusu Machinga complex ni tofauti kabisa, lile lilikamilika enzi za Kikwete na ilishindikana wamachinga kuhamia pale enzi za Kikwete kutokana na mpangilio wa hovyo wa mkataba wa ujenzi ulioingiwa na halmashauri ya Ilala, Kikwete mwenyewe alishindwa.

Kiufupi ni kwamba, mkopo uliotumika na jinsi ya kulipa huo mkopo ni mzigo mkubwa kwa serikali, sio rahisi kwa machinga kulipa Kodi ya vizimba ni kubwa mno, Magufuli alipoingia madarakani pia aliona hilo tatizo Kama alivyoliona Kikwete na akakataa wamachinga kubeba uzembe uliofanywa na hamashauri ya Ilala.

Masoko yote aliyojenga Magufuli akiwa madarakani, na vituo vya mabasi, wamachinga na mama lishe wamepewa kipaumbele kikubwa Sana. Vitambulisho vya Magufuli vinampa uhuru machinga ya Kisutu kuhamia soko la Magomeni, au soko lolote bila kubughudhiwa au kulipa ada au Kodi yoyote Ile.

Thank you.

Serikali ya Kikwete na halmashairi zake waliiingia mikataba mingi ya kifisadi!

Halafu wapo Nyumbu wasiotaka tuongee hili kwakua wao na wale are connected na mambo yaleee yalioletwa na Meli "Merikebu".
 
Ngoja tuone time will tell masoko yako na sehemu za biashara kila mkoa na wilaya itatenga! Ninachokiona watenda halafu watarudi barabarani! kwanza kuwaondoa itakuwa kimbembe! Na sababu ni yule mtetezi wa wanyonge!

Wamachinga walikuwepo since 1995 kipindi cha RUKSA, msimtie shombo Magufuli.

Vunjeni vibanda vyao, wapigeni risasi or wapeni kesi za ugaidi mpaka streets wazione motoni, simple!
 
Limekushuka sio? backend developer umekuja na speed ukifikiri watu hawajui APIs! fala kama wewe unatetea mradi bogus wa Magufuli ka-print vitambulisho zaidi ya milioni ambavyo soon vitakuwa scrapped as one can't trace a true owner!
Ni mtaalam gani wa hayo mambo anasemaga limekushuka? 😂😂😂😂

Dah aisee we pimbi unanipaga fleva upo kidadada ndio maana wewe na mama ni damdam sababu mnaendana🤣🤣🤣
 
Toll ya mchina hapo ndipo mchina atawadinya kisawasawa😁😁😁😁😁 30 good yrs
most developed countries have toll roads, i dont think someone from a lower income country ataelewa this things. its like trying to explain to someone amezoea free to air TV that in mordern countries people pay to watch TV atashangaa sana (cable tv)

Most Expensive Toll Roads in the USA
  • Whiteface Mountain Memorial Highway in New York - $1.25 per mile.
  • 17 Mile Drive in California - $0.59 per mile.
  • Chicago Skyway in Illinois - $0.51 per mile.
  • Fort Bend Parkway in Texas - $0.51 per mile.
  • Delaware Turnpike in Delaware - $0.29 per mile.
 
Back
Top Bottom