The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527

wewe kama nani pita kulee thread yako hii? Na-post ninachotaka! Hujui kwamba hunauwezo wa kuni-bully! Unatakiwa u-ignore my posts!Unajua wewe wakati mwingine unakuwa mburura sana, tumesema haya mambo tumeshaachana nayo kwnn unayarudisha? Wewe uyo uyo ushaweka thread nyingi humu za kusifu JPM leo umegeuka lkn wenye akili tushaelewa lengo lako tunasema wacha mambo yaendelee lkn wewe bado unaturudisha kule kule, unataka tupigwe ban?
😁😁😁😁😁😁Wakenya tuanze battle ya bus terminals au mnasemaje![]()
Halafu mburura ni jina la ukoo wako!Unajua wewe wakati mwingine unakuwa mburura sana, tumesema haya mambo tumeshaachana nayo kwnn unayarudisha? Wewe uyo uyo ushaweka thread nyingi humu za kusifu JPM leo umegeuka lkn wenye akili tushaelewa lengo lako tunasema wacha mambo yaendelee lkn wewe bado unaturudisha kule kule, unataka tupigwe ban?
Tatzo lako unahisi unajua kila kitu kumbe mweupe tu...haya madude waachie walioyakalia darasani, we endelea ku copy na kupaste post za twitter then uweke maneno yako uwaoneshe watu ni jinsi gani unajua while hujui kitu...what do u understand by biometric and how can cashless transaction be done without biometric info/particulars? How can a database of a particular transaction be conducted without biometric info.? Vile vya JPM vilitumia fedha za walipa kodi tena bila hata kupitishwa na Bunge kakurupuka katengeneza vitambulisho visivyo na ubora karibu milioni bila kutangazwa tender ya vitambulisho havina identification yeyeote kutambua nani mmiliki halisi! Matokeo yake kitambulisho kimoja wanatumia watu 100! Ule ulikuwa ni ufisadi na siwezi ku-support hata kama nia ilikuwa nzuri!
Nimeuliza what do u understand by biometric? Jibu swali! Halafu usifikirie wewe tu ndo unajua hii field!Tatzo lako unahisi unajua kila kitu kumbe mweupe tu...haya madude waachie walioyakalia darasani, we endelea ku copy na kupaste post za twitter then uweke maneno yako uwaoneshe watu ni jinsi gani unajua while hujui kitu...
Hakuna kitu kinaitwa biometric card kuna biometric informations km fingerprint, iris, retina, palm veins, face recognition n.k, ukiskia mtu anasema ana biometic card jua nae kilaza km ww...
Ktk Authentication methods kuna aina tatu tu
1. Something you know e.g password or PIN
2. Something you have e.g card
3. Something you are e.g biometic infos.
Ningeenda deep ktk hii ila wacha niishie hapa.
Na km serikali teyari ina info zako + biometric info kupitia kitambulisho cha taifa na mitandao ya simu ishakusajili, biometric info za nn tena kwenye vitambulisho vya wamachinga?
Unapoenda kufungua biashara Brela hua wanakuchukia alama za vidole?
Na makampuni yaliyosajiliwa brela hayafanyi cashless transaction?
Or unavyoenda KFC unakuta either QR code au no ya simu pale ya kulipia ni biometric za nani zilitumika kuwasajili KFC brela? Or unavyolipa umeme, jamaa wanakata kodi, Rea, kodi ya majengo biometric za nani zilitumika kuwasajili Tanesco?
By theway now days kuna kitu kinaitwa API unapotengeneza system huitaji user database, una query existing database za wenye nazo teyari...system ya wamachinga ina weza ku rely on the already existing National ID database and already existing mobile service provider databases.
Kama mimi tu, sioni upuuzi wowote sasa hiviNimefanya hivo.
Now sioni upuuzi sasa hivi naona "5 ignored post.View"![]()
Read btn the line utajua nimeielewaje biometric.Nimeuliza what do u understand by biometric? Jibu swali! Halafu usifikirie wewe tu ndo unajua hii field!
Unajua a simple foto can make a difference in an id and it is biometric too! Vitambulisho vya malaika wenu vilikuwa vya kipumbavu na upotezaji wa rasilimali! Kitambulisho cha mlipa kodi lazma kiwe secured! Na si ule upuuzi! BTW nani kasema biometric card? Nionyeshe mahali nimesema biometric card humu ndani!Read btn the line utajua nimeielewaje biometric.
Tatzo lako unahisi unajua kila kitu kumbe mweupe tu...haya madude waachie walioyakalia darasani, we endelea ku copy na kupaste post za twitter then uweke maneno yako uwaoneshe watu ni jinsi gani unajua while hujui kitu...
Hakuna kitu kinaitwa biometric card kuna biometric informations km fingerprint, iris, retina, palm veins, face recognition n.k, ukiskia mtu anasema ana biometic card jua nae kilaza km ww...
Ktk Authentication methods kuna aina 4 tu
1. Something you know e.g password or PIN
2. Something you have e.g card
3. Something you are e.g biometic infos.
4. Somewhere you are.
Ningeenda deep ktk hii ila wacha niishie hapa.
Na km serikali teyari ina info zako + biometric info kupitia kitambulisho cha taifa na mitandao ya simu ishakusajili, biometric info za nn tena kwenye vitambulisho vya wamachinga?
Unapoenda kufungua biashara Brela hua wanakuchukia alama za vidole?
Na makampuni yaliyosajiliwa brela hayafanyi cashless transaction?
Or unavyoenda KFC unakuta either QR code au no ya simu pale ya kulipia ni biometric za nani zilitumika kuwasajili KFC brela? Or unavyolipa umeme, jamaa wanakata kodi, Rea, kodi ya majengo biometric za nani zilitumika kuwasajili Tanesco?
By theway now days kuna kitu kinaitwa API unapotengeneza system huitaji user database, una query existing database za wenye nazo teyari...system ya wamachinga ina weza ku rely on the already existing National ID database and already existing mobile service provider databases.
Hizo API sijui nini usiende mbali usikurupuke! U need basics!Tatzo lako unahisi unajua kila kitu kumbe mweupe tu...haya madude waachie walioyakalia darasani, we endelea ku copy na kupaste post za twitter then uweke maneno yako uwaoneshe watu ni jinsi gani unajua while hujui kitu...
Hakuna kitu kinaitwa biometric card kuna biometric informations km fingerprint, iris, retina, palm veins, face recognition n.k, ukiskia mtu anasema ana biometic card jua nae kilaza km ww...
Ktk Authentication methods kuna aina 4 tu
1. Something you know e.g password or PIN
2. Something you have e.g card
3. Something you are e.g biometic infos.
4. Somewhere you are.
Ningeenda deep ktk hii ila wacha niishie hapa.
Na km serikali teyari ina info zako + biometric info kupitia kitambulisho cha taifa na mitandao ya simu ishakusajili, biometric info za nn tena kwenye vitambulisho vya wamachinga?
Unapoenda kufungua biashara Brela hua wanakuchukia alama za vidole?
Na makampuni yaliyosajiliwa brela hayafanyi cashless transaction?
Or unavyoenda KFC unakuta either QR code au no ya simu pale ya kulipia ni biometric za nani zilitumika kuwasajili KFC brela? Or unavyolipa umeme, jamaa wanakata kodi, Rea, kodi ya majengo biometric za nani zilitumika kuwasajili Tanesco?
By theway now days kuna kitu kinaitwa API unapotengeneza system huitaji user database, una query existing database za wenye nazo teyari...system ya wamachinga ina weza ku rely on the already existing National ID database and already existing mobile service provider databases.
what do you say about this my small hometown of kericho. just arrived to my diggs meeen....! View attachment 1953689View attachment 1953690
Km simu yako ina fanya face recognition as a means of authentication, tafta picha yako yoyote then itumie kufungua simu yako. ikifungua then u r right, isipofungua then u just another stupid idiot.Unajua a simple foto can make a difference in an id and it is biometric too! Vitambulisho vya malaika wenu vilikuwa vya kipumbavu na upotezaji wa rasilimali! Kitambulisho cha mlipa kodi lazma kiwe secured! Na si ule upuuzi!