The best 007 atakuambia Hapa Ni Express way ya Udongo!😂😂Yani Hapa Moto hapa 🔥🔥 Mtu wivu tu Ndio anaweza kukana😍
Naipenda kanairo😍🔥🔥green city under the sunView attachment 1955240
Kwahiyo Kenya inafananishwa na US cku hzHta marekani hko mnakokutolea mfano wachina wanachukua toll pia






Ndio maana neno BLUE haliwakauki mdomoni, Blue towers, Blue sea, blue sky, Blue economy. Yaani hata hizo tower zilivyojipanga zinafaa yale maneno yao yote, good, better, best, tall, taller, tallest 😎 😀 .Dar blue looks good on you.
Demolition alafu mnajenga nnUnajifuraisha na picha za demolution





Wamebaki na mradi mmoja wa kubrag, tushawatoa mchezoni hawa





Hebu ongeza angle tuonenow that kibera is coming to an end what will the haters be riding on?View attachment 1955257





UgandaThe best 007 atakuambia Hapa Ni Express way ya Udongo!Yani Hapa Moto hapa
Mtu wivu tu Ndio anaweza kukana
![]()







Kuna maeneo kibao ila matatu matata sana hapo kwa sasa 1. AKEMI, High Spirit (POISON CLUB) na Princes Casino 😎 yaana story nyingi sana hapo mjini.Dah sehemu ya bata hapo![]()
Kuhusu demokrasia ilibidi afanye alivyofanya.Mkuu Magufuli alikua na mapungufu makubwa katika eneo la demokrasia
Tatizo scope pekee ya mapungufu ya demokrasia unayoangalia ni Utekelezaji wa mipango ya nchi. Kwamba, kama angeruhusu opinions za watu wengine basi asingeweza kukamilisha mipango yake. Lakini Unadhani kuwa kila mpango wa Magufuli una tija na feasibility? Mfano ni issue ya Chato. Sehemu ambayo hata kwenye map haionekani Kwa urahisi Mara ghafla anataka kujenga international airport, a major district hospital, a stadium etc.. Lakini uwekezaji wote huo ni hasara Tupu! Kama demokrasia ingekuwepo na maswala haya yakafanyiwa majadiliano bungeni na upinzani ukatoa hoja zao, basi hasara hiyo isingetokea. Lakini kwasababu alikuwa Dikteta, lolote alilopenda Moyoni mwake alilifanya.Kuhusu demokrasia ilibidi afanye alivyofanya.
Kwa jinsi nchi ilivyokuwa inaendeshwa, kwa miaka 15 kabla yeye kuwa rais, asingeweza kufanikisha mipango yake kama angeruhusu kila mtu apige kelele. Hizi nchi zenye maslahi fulani kwa nchi maskini, huwa wanatumia upenyo wa demokrasia kurubuni maendeleo.
So hao Watz 84% wote walikuwa wajinga kwamba hawakuona kinachofanyika, ila nyie 16% ndiyo pekee mlikuwa na akili.Tatizo scope pekee ya mapungufu ya demokrasia unayoangalia ni Utekelezaji wa mipango ya nchi. Kwamba, kama angeruhusu opinions za watu wengine basi asingeweza kukamilisha mipango yake. Lakini Unadhani kuwa kila mpango wa Magufuli una tija na feasibility? Mfano ni issue ya Chato. Sehemu ambayo hata kwenye map haionekani Kwa urahisi Mara ghafla anataka kujenga international airport, a major district hospital, a stadium etc.. Lakini uwekezaji wote huo ni hasara Tupu! Kama demokrasia ingekuwepo na maswala haya yakafanyiwa majadiliano bungeni na upinzani ukatoa hoja zao, basi hasara hiyo isingetokea. Lakini kwasababu alikuwa Dikteta, lolote alilopenda Moyoni mwake alilifanya.
Na pia mapungufu ya demokrasia kwenye uongozi wake yalionea watu wote waliompinga. Hata humu mtu yoyote aliyeongea hata sentensi moja ya kumkosoa Magufuli alikuwa bullied (absolute psychopathy). Uhuru wa kujieleza ulishuka, uhuru wa vyombo vya habari Ndio hata usiseme. Kiufupi, everything was a mess. Lakini majority ya watanzania, say, 84% walikuwa bega Kwa bega na udiketa wake. Why? Mass manipulation.