Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila Kariakoo ni kitu kingine bro acha masihara kabisa, idadi ya majengo ya gorofa yaliyopo Kariakoo pekee ni sawa na idadi ya majengo yenu ya gorofa kwenye CBD zenu zote tatu combined yatapishana thamani tu na urefu to some buildings in ur CBDs, ukibisha leo tutahesabu hapa.. hivi unajua gorofa karibu 80% za KK ni juu ya floors kumi.? I can assure you, Kariakoo ingekua imepangwa kama hako ka old CBD kenu, hizo (KK) gorofa zingekua zimetapakaa na ukubwa mara tatu ya NAIROBI View attachment 1954640View attachment 1954635
Kwa mfano 👇hii picha sio hata Kk Ila hapa kuna gorofa zaidi ya 30 na haya sio kama yele magorofa yenu ya udongoView attachment 1954638
Kenya magorofa yao kama ya Udongo
 

Hapa madam President amevunja rekodi by January madarasa 15,000 haijawahi tokea na by June 30,2022 vituo vya afya 250 ..

Chief Hangaya kama Hangaya 😀😀💯💯💥💥💪💪👊👊

Screenshot_20210927-080814.png
 
Back
Top Bottom