joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mkuu Magufuli alikua na mapungufu makubwa katika eneo la demokrasia na kuchanganya uongozi/utalaamu na Mambo ya dini, pia alikua na tabia ya kuropoka hovyo bila kufikiria kwa makini, lakini maeneo mengine alikua mzuri Sana, ikiwemo biashara.Afadhali umekuja humu ndani nanyanyapaliwa kisa nimesema JPM alikuwa mzuri kwenye ujenzi ila si kwa biashara(trade/commerce/business) na mama yuko poa hiyo sector! Nini maoni yako juu ya hili?
Kwa ufupi Magufuli alikua na akili kubwa Sana, wengi tutamuelewa baada ya miaka kadhaa kupita kutoka Sasa, uwezo wake wa akili ulikua mkubwa sana. Hayo ndio maoni yangu mkuu.



