Wakuu huyu opportunity cost mm nimeshamu ignore sasa kilichobaki naomba member wote wenye mapenzi na huu uzi tumpige block ili tusione anacho comment, wabaki kujibishana yeye na rafiki yake mpenzi Geza.
Nimeona niliseme hili kwa faida ya uzi wetu adhimu, cc wengine humu JF hatuna forums nyingi, kwa mfano mm humu jamii forums nina forums tano tu ambazo ndio mpango mzima ila hii ipo juu ya hizo zilizobaki sasa siwezi kukubali huu uzi ukiharibika kwa mjinga mmoja tu.
Hakuna mtu anayelazimishwa kumkubali kiongozi fulani na amchukie kiongozi fulani lkn je wewe usiyemkubali kiongozi fulani ambaye anakubalika na mwenzio je unatumia njia sahihi kuwasilisha hoja zako?
Huu co uzi wa siasa japo siasa mbili tatu huwa zinaingia mana huwezi kuepuka siasa cz ni maisha na ndiyo kwa asilimia kubwa inatufanya tuwe hapa jukwaani, lkn sasa unakuta mtu anaweka siasa za kishamba na chuki zake binafsi plus matusi, huu ni utoto na kutoelimika pamoja na kutopevuka kiakili.
Sasa ili nisione comments za huyu mpumbavu nimempiga block natumai na yeyote yule anayekwazika na ujinga wake atafanya hivyo hivyo.
Picha ya kwanza kabla ya block, picha ya pili ni baada ya block, na akija na Id nyingine nikimgundua napiga block, tufanye hivyo wakuu lasivyo huyu mbwa anakwenda kuuharibu huu uzi, nyuzi zake zote anazotembelea ndio yuko hivi hivi usidhani humu tu


View attachment 1953703View attachment 1953704