Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,389
- 5,792
Hatujitambui nini? Wewe ndio hujitambui. Hakuna mradi wa maana magufuli alimaliza.Watu kama nyie hamjitambui
Hatujitambui nini? Wewe ndio hujitambui. Hakuna mradi wa maana magufuli alimaliza.Watu kama nyie hamjitambui
Hapo sio katikati ya mjii ni ukingoni kabisa na branching roads zipo kibao zinazoelekea kwenye makazi ya watuOna huyu fala mdanganyika. Ukitaka kuacess Nyumba yako kando ya hio barabara itakuaje? Remember ni katikati ya mji.
So there will be no activity along the road?Hapo sio katikati ya mjii ni ukingoni kabisa na branching roads zipo kibao zinazoelekea kwenye makazi ya watu
huaga mnasemaga nbi ni msitu, mara kichaka. mbona baci dar mmekimya
Nimeyasikia malalamiko yako nipo kwenye mchakato nitayafanyia kazi.We jamaa huwa ni coward na usiamini hata unachozungumza mbele za watu. Kila comment ninayoiona kwako ni ya wingi tu hivi huwa huna mawazo binafsi au huna uwezo wa kutetea unachoongea.
Mm hata sijamuelewa alitaka kumaanisha nnSasa kati yake na wewe nani mjinga![]()






Hasa mm huwa nafurahi sana nyinyi mkipata matatizowatz ni kama nifuraha yao sana kuona kenya iki zama ama kufeli kwa jambo lolote lile. huaga wana enjoy sana







Hili pambano liliandaliwa kwa viwango vya juu sana.
Safi sana.Dodoma City Ring Highway U/C
Ulitaka waache kutengeneza?unapouliza gharama za nani umeambiwa wanapewa bure or ht wakipewa bure kuna tatzo gani?mbona kitambulisho cha taifa mnapewa bure...
Nway ngoja nikupe madini kidogo upanue ubongo...kitambulisho kikiwa na QR code km alivyozindua Mwinyi inafungua endless possibilities...kwa mfano, behind the scene inaweza kuunganishwa na mifumo ya TRA na Mobile money Provider, ukifika kwa mamantilie unapata huduma ukimaliza una scan QR Code yake unamlipa, hela inaingia kwenye mobile money wallet yake, at the time TRA wanakata kodi yao just like when u pay kfc bt now tumeishusha kwa wafanyabiashara wadogo wadogo...this can help on cashless transactions move kwa wafanya biashara wadogo wadogo.
I Bet na ujuaji wako hili hukuliwaza...nway now you know..Chears.
Note: vitambulisho vya Mwinyi sio Biometric as you claimed, Nenda ka google uelewe nn maana ya Biometric then upunguze ujuaji.



Tz ya sasa kwenye soka msiguse kabisa, hatupo level moja kwa ss.but tuliwagongamo 2018 Afcon.. hehe..
Yanga imeniliwaza, imemfundisha mtu soka siku ya jana na kutoa warning kwa timu za Tanzania






Yani kijana wa kenya hata ile ndoto ya kumiliki ardhi wa nyumba hana kitu wamebakiza ni kurent bedsitter na kujiita middle class 😁😁😁Kuna watu wanamiliki maeneo huko Kenya kama saizi ya wilaya ya temeke hii kweli balaa., Kenya kumiliki ardhi ni kama ndoto
View attachment 1952706
Safi sana tunaenda vizuri.ATCL to go to USA![]()