Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So nasema ukweli kua magufuli hakuna mradi alikamilisha ni mdomo tu. Kutoka 2016 hadi sa hii sgr iko 90% complete. Ni uongo tu.
Na nikukumbushe electric train zilikua Zimbabwe 1970s so its nothing new.
Zilikuwa Zimbabwe lakini co Kenya, Kwahiyo now mmeanza kutafuta usaidizi
 
Wakenya hii ni Tanzania ambayo hamkuambiwa, hapa ni timu ya wananchi baada ya kumnyonyoa mdogo wake Simba, cheki mazingira kama Europe
JamiiForums-57352230.jpg
JamiiForums207562901.jpg
 
at least umeona mapungufu humu ndani watu hawataki kuskia! Mimi niliona mapungufu kwenye kuuhusu wamachinga wafanye kazi popote kwa kitambulisho cha Tshs 20,000! Maduka mengi yamefungwa maana haikuwa na maana kulipa kodi kubwa halafu machinga anakuja kupanga biashara mlangoni kwa malipo ya tshs 20,000 na naona mama akishughulikia hilo huku sekta ya utalii inayochangia 17% ya pato la taifa ishapewa ahueni kwenye tozo na pia naona akijaribu ku-promote tourism kumbuka kazi zaidi ya 100,000 zimepotea toka corona ianze na hakukuwa na recovery plan ya maana kipindi cha mwendazake!
Mkuu kuhusu vitambulisho vya machinga nadhani hukumuelewa Magufuli, yeye hakusema wamachinga wafanye biashara hovyo hovyo hata mbele ya maduka ya watu.

Kitamvulisho cha machinga kinampa uhuru wa kufanya biashara popote pale ambapo biashara zinafanyika kwa mujibu wa Sheria na nchi bila kulipishwa Kodi au tozo zozote za eneo husika.

Zamani kabla ya hivi vitambulisho, wamachinga wa kariakoo wakitaka kuhamia soko la makumbusho kwa mfano, lazima akalipe kodi za soko na za serikali ya eneo husika upya, hata Kama kariakoo alishalipia na mwaka haujaisha, ni kama serikali ni tofauti kumbe ni serikali Moja.

Vitambulisho vya machinga vinampa uhuru wa kuweza kuhamisha biashara yake wakati wowote anapohisi wateja wanapungua bila kikwazo cha kuogopa kulipa upya Kodi na tozo za serikali au kusumbuliwa na uongozi wa eneo analohamia.

Miongoni mwa akili ya biashara nzuri aliyoanzisha Magufuli ni hivi vitambulisho vya machinga, serikali ilikua inakusanya Kodi kubwa kwa mwaka kwasababu pesa yote ilikua inaingia serikalini na machinga wameepukana na kulipishwa wastani wa Tshs.1000 kwa siku kama ushuru wa maeneo wanayofanyia biashara walizokua wanatozwa na 10% pekee ilikua inaingia serikalini.
 
At last a return of sanity!

MY TAKE
Hawa jamaa waikuwa wanatandika biashara mpaka mlangoni kwa wenye maduka walipa kodi wakuu!
Magufuli hajaruhusu hili la kufanya biashara popote, alisisitiza wamachinga kutobughudhiwa lakini kuandaliwa maeneo maalumu yenye wateja, mara nyingi alikua akiwaambia wamachinga kwamba pamoja na kwamba anawatetea Sana lakini wafuate taratibu za nchi, ndio sababu katika kila kituo cha mabasi alichojenga alisisitiza kuwepo maeneo maalumu ya machinga, ndio sababu alijenga masoko mengi yenye maeneo makubwa ya mama lishe na machinga.

Watanzania wengi hatukumuelewa Magufuli, wakiwemo viongozi wetu, walimuogopa Sana kutokana na ukali wake, lakini hakuruhusu biashara" anywhere"
 
Shukran mkuu, ubarikiwe mana hata mm nilikuwa namsema sn Hayati juu ya hili hapa umenielewesha
 
Ulitaka waache kutengeneza?unapouliza gharama za nani umeambiwa wanapewa bure or ht wakipewa bure kuna tatzo gani?mbona kitambulisho cha taifa mnapewa bure...

Nway ngoja nikupe madini kidogo upanue ubongo...kitambulisho kikiwa na QR code km alivyozindua Mwinyi inafungua endless possibilities...kwa mfano, behind the scene inaweza kuunganishwa na mifumo ya TRA na Mobile money Provider, ukifika kwa mamantilie unapata huduma ukimaliza una scan QR Code yake unamlipa, hela inaingia kwenye mobile money wallet yake, at the time TRA wanakata kodi yao just like when u pay kfc bt now tumeishusha kwa wafanyabiashara wadogo wadogo...this can help on cashless transactions move kwa wafanya biashara wadogo wadogo.
I Bet na ujuaji wako hili hukuliwaza...nway now you know..Chears.
Note: vitambulisho vya Mwinyi sio Biometric as you claimed, Nenda ka google uelewe nn maana ya Biometric then upunguze ujuaji.
what do u understand by biometric and how can cashless transaction be done without biometric info/particulars? How can a database of a particular transaction be conducted without biometric info.? Vile vya JPM vilitumia fedha za walipa kodi tena bila hata kupitishwa na Bunge kakurupuka katengeneza vitambulisho visivyo na ubora karibu milioni bila kutangazwa tender ya vitambulisho havina identification yeyeote kutambua nani mmiliki halisi! Matokeo yake kitambulisho kimoja wanatumia watu 100! Ule ulikuwa ni ufisadi na siwezi ku-support hata kama nia ilikuwa nzuri!
 
Magufuli hajaruhusu hili la kufanya biashara popote, alisisitiza wamachinga kutobughudhiwa lakini kuandaliwa maeneo maalumu yenye wateja, mara nyingi alikua akiwaambia wamachinga kwamba pamoja na kwamba anawatetea Sana lakini wafuate taratibu za nchi, ndio sababu katika kila kituo cha mabasi alichojenga alisisitiza kuwepo maeneo maalumu ya machinga, ndio sababu alijenga masoko mengi yenye maeneo makubwa ya mama lishe na machinga.

Watanzania wengi hatukumuelewa Magufuli, wakiwemo viongozi wetu, walimuogopa Sana kutokana na ukali wake, lakini hakuruhusu biashara" anywhere"
kwenye hili swala mtazamo wangu upo kivingine na ninajua masoko kama ya machinga complex yako siku nyingi hata kabla JPM hajaja madarakani na wamachinga waligoma kwenda pale na JPM aliwakingia kifua akijidai mtetezi wa wanyonge huku wakivunja taratibu! Kiufupi alikuwa controversial!
 
Back
Top Bottom