Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe kama nani pita kulee thread yako hii? Na-post ninachotaka! Hujui kwamba hunauwezo wa kuni-bully! Unatakiwa u-ignore my posts!
Kwasababu co thread yako ndio maana unaleta huu ufalamanga? Mbn kule kwenye thread yako huleti hizi habari? Au unataka hii thread aliyoianzisha Annael ifungwe? Sasa kwnn unakuwa mkaidi namna hii? Unaongoza siasa humu ndani?
 
Screenshot_20210926-231532.jpg
 
Tatzo lako unahisi unajua kila kitu kumbe mweupe tu...haya madude waachie walioyakalia darasani, we endelea ku copy na kupaste post za twitter then uweke maneno yako uwaoneshe watu ni jinsi gani unajua while hujui kitu...

Hakuna kitu kinaitwa biometric card kuna biometric informations km fingerprint, iris, retina, palm veins, face recognition n.k, ukiskia mtu anasema ana biometic card jua nae kilaza km ww...

Ktk Authentication methods kuna aina 4 tu
1. Something you know e.g password or PIN
2. Something you have e.g card
3. Something you are e.g biometic infos.
4. Somewhere you are.
Ningeenda deep ktk hii ila wacha niishie hapa.

Na km serikali teyari ina info zako + biometric info kupitia kitambulisho cha taifa na mitandao ya simu ishakusajili, biometric info za nn tena kwenye vitambulisho vya wamachinga?

Unapoenda kufungua biashara Brela hua wanakuchukia alama za vidole?
Na makampuni yaliyosajiliwa brela hayafanyi cashless transaction?

Or unavyoenda KFC unakuta either QR code au no ya simu pale ya kulipia ni biometric za nani zilitumika kuwasajili KFC brela? Or unavyolipa umeme, jamaa wanakata kodi, Rea, kodi ya majengo biometric za nani zilitumika kuwasajili Tanesco?

By theway now days kuna kitu kinaitwa API unapotengeneza system huitaji user database, una query existing database za wenye nazo teyari...system ya wamachinga ina weza ku rely on the already existing National ID database and already existing mobile service provider databases.
Kama wewe ni backend developer na ujuaji wako wa backend APIs usikufanye kujiona unafahamu peke yako! Ni vitu vidogo hivyo!
 
Km simu yako ina fanya face recognition as a means of authentication, tafta picha yako yoyote then itumie kufungua simu yako. ikifungua then u r right, isipofungua then u just another stupid idiot.
Ktk biometic hatuna simple photo tuna face recognition ambayo inaenda zaidi ya just a simple foto, kuna measurements zinachukuliwa ktk uso tu make it a biometric...
Next time unapopost kitu jaribu ht ku google b4 hujapost angalau ku verify ujuvi wako...Just google is a photo a biometric then uone utapata majibu gani?..

Now back to JPM...issue ya JPM was just an idea, somewhere to start with, people along the way will perfect it, just as how Mwinyi did.
ht JK alianzisha usajili wa no za simu wa kawaida kabisa hakuna mtu alimponda then JPM hajatupeleka kwenye biometric, unasemaje kuhusu JK?
or smart phone za kwanza kwanza zilikua hazina biometric authentication while teknolojia ilikuepo na tulikua tunaitumia kufungulia milango maofcn, does that means wangeacha kutengeneza simu wasubiri mpaka feature ya biometric iwepo? Heb ficha ukilaza wako aisee...
machine learning na Artificial Intelligence hapa ndo mahali pake! Usiwe fala kujifanya unajua! Stay in ur box! Malaika wenu na vitambulisho vya ku-print stationery ndo unamtetea kwa nguvu namna hii! Funga domo lako!
 
Watu tunakuwa na mawazo mengine tushaachana na siasa humu ndani lkn huyu mzee anayeitwa Geza Ulole hachoki kuturudisha kule kule, lengo lake thread iharibike kabisa, lkn hafanyi huu ujinga kwenye nyuzi alizoanzisha kwa mkono wake, ni mtu hatari sana huyu kwa maendeleo ya taifa, ok gud night guys.
heshimu opinion za wengine hata uki-post kwenye thread yangu siwezi kukutukana kama unavyofanya humu! Huyu Malaika wenu alikuwa muovu tena aliuwa mpaka watu!
 
Huyu jamaa hua namuangalia anavyorukia watu napita kimya kimya, leo nimeona na mimi nimtolee uvivu.
Anajifanya Jack of all trades.
maana ya Biometric hujui unakuja na kelele nyingi kwa vile tu ni kabackend developer flani basi!
 
machine learning na Artificial Intelligence hapa ndo mahali pake! Usiwe fala kujifanya unajua! Stay in ur box! Malaika wenu na vitambulisho vya ku-print stationery ndo unamtetea kwa nguvu namna hii! Funga domo lako!
Leo umekua Mtaalam wa ML na AI? Unataaaluma ngapi aisee?kesho utasahau kua ulisema we ni mtaalam wa ML na AI utasema we ni Dr wa magonjwa ya binadamu...
On a sereous note una project yoyote Github hayo mambo ya ML & AI unaweza ku share nami nikajifunza kutoka kwako Jack of all trades?
To be specific am looking for something to help me on learning behavior ya watanzania when it comes to spending, where they like to spend the most, time specific and what do they like to spend on.
 
Kwasababu co thread yako ndio maana unaleta huu ufalamanga? Mbn kule kwenye thread yako huleti hizi habari? Au unataka hii thread aliyoianzisha Annael ifungwe? Sasa kwnn unakuwa mkaidi namna hii? Unaongoza siasa humu ndani?
Wacha kuni-naggy sheria za JF zinaniruhusu ku-post chochote kama simtukani mtu!
 
Leo umekua Mtaalam wa ML na AI? Unataaaluma ngapi aisee?kesho utasahau kua ulisema we ni mtaalam wa ML na AI utasema we ni Dr wa magonjwa ya binadamu...
On a sereous note una project yoyote Github hayo mambo ya AI unaweza ku share nami nikajifunza kutoka kwako Jack of all trades?
To be specific am looking for something to help me on learning behavior ya watanzania when it comes to spending, where they like to spend the most, time specific and what do they like to spend on.
Nina-account ila siwezi kukupa iko na my real name na kwa vile niko discrete! FYI hayo unayoongea humu ninayafahamu vizuri na nimeshiriki kwenye several projects kama PO ama QA ama SCRUM Master under Agile Project management! Stay in ur box fool!
 
Nina-account ila siwezi kukupa kwa vile niko discrete! FYI hayo unayoongea humu ninayafahamu vizuri na nimeshiriki kwenye several projects kama PO ama QA ama SCRUM Master under Agile Project management! Stay in ur box fool!
....sawa Jack of all trades.
Next time utakapokua una change taaluma kumtambia mtu humu ndani usisahu kuweka na hii mpya ya AI & ML...ukisahau ntakukumbusha, i hope hutamind.
Peace
 
....sawa Jack of all trades.
Limekushuka sio? backend developer umekuja na speed ukifikiri watu hawajui APIs! fala kama wewe unatetea mradi bogus wa Magufuli ka-print vitambulisho zaidi ya milioni ambavyo soon vitakuwa scrapped as one can't trace a true owner!
 
Limekushuka sio backend developer umekuja na speed ukifikiri watu hawajui APIs! fala kama wewe unatetea mradi bogus wa Magufuli ka-print vitambulisho zaidi ya milioni ambavyo soon vitakuwa scrapped!
Unajua nn kuhusu API, let alone ML & AI...ww utalaam wako upo kwenye ku copy na kupaste post za wenzio twiter na youtube...
ukiacha ku copy and paste ur empty, huna content( try to do so uone)...ndo maana watu wana ku ingnore, so ht mimi baada ya leo kukumbusha kua haujui kila kitu ntaku ingnore coz nimegundua hurekebishiki, your ego is to big to swallow your stupidit.
 
Back
Top Bottom