Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa wanaojua height ya majengo kwa vipimo wanaezakubalina na mimi kua majengo ya mzizima ni between 135 to 130m kwa office tower,huku la residential ni 110 to 105m kwa muonekano.

Nimefanya hii comparison nikitumia majengo ya GTC hotel tower ambayo ni 143m na 38 floors na pia yale mawili ya residential yaliyo na 110m na 32 floors...so kwenye huu utafiti nimegundua GTC hotel tower ni ndefu zaidi kwa ile ya mzizima na meters kadhaView attachment 1953196View attachment 1953198
Sijajua umetumia picha ambazo zimepigwa kwenye level moja au technique ipi...ila the best way ni kuangalia floor height ya kila floor ..na kuzi add au kupima meters ...

Most of Public companies zinazojenga haya majengo huwa hazinotify height na wanapenda kutumia floor count which is not the best way .

Anyways i still think Mzizima iko below GTC office tower..but ni ndefu kuliko tower nyingine zote za GTC

I estimate it to be 150m for the office tower and 120m for residential

The first two pics cant be used ku compare due to distance

Kwenye Picha ya tatu kuna Benjamin Mkapa tower which is 90m 21 floor building and City Piaza 21 floor ..and they are just 4 blocks away from mzizima tower ila angalia ilivyoyapita
20210926_070530.jpg
20210926_070750.jpg
20210926_070332.jpg
 
Sijajua umetumia picha ambazo zimepigwa kwenye level moja au technique ipi...ila the best way ni kuangalia floor height ya kila floor ..na kuzi add au kupima meters ...

Most of Public companies zinazojenga haya majengo huwa hazinotify height na wanapenda kutumia floor count which is not the best way .

Anyways i still think Mzizima iko below GTC office tower..but ni ndefu kuliko tower nyingine zote za GTC

I estimate it to be 150m for the office tower and 120m for residential

The first two pics cant be used ku compare due to distance

Kwenye Picha ya tatu kuna Benjamin Mkapa tower which is 90m 21 floor building and City Piaza 21 floor ..and they are just 4 blocks away from mzizima tower ila angalia ilivyoyapitaView attachment 1953230View attachment 1953231View attachment 1953232
kwa international standards mbona urefu wa floor hujulikana ukiacha mezzanine (groundfloor) 4m, huwa 3m (10 ft) ! kwa hiyo chukua number of floors uzidishe 3 m/floor!
 
Sijajua umetumia picha ambazo zimepigwa kwenye level moja au technique ipi...ila the best way ni kuangalia floor height ya kila floor ..na kuzi add au kupima meters ...

Most of Public companies zinazojenga haya majengo huwa hazinotify height na wanapenda kutumia floor count which is not the best way .

Anyways i still think Mzizima iko below GTC office tower..but ni ndefu kuliko tower nyingine zote za GTC

I estimate it to be 150m for the office tower and 120m for residential

The first two pics cant be used ku compare due to distance

Kwenye Picha ya tatu kuna Benjamin Mkapa tower which is 90m 21 floor building and City Piaza 21 floor ..and they are just 4 blocks away from mzizima tower ila angalia ilivyoyapitaView attachment 1953230View attachment 1953231View attachment 1953232
Majengo ya residential sana sana hupelekana kwa vipimo....for example 32 floors hufika 110m kwa nchi nyingi za Asia na Africa sababu wajenzi ni wachina,so vipimo vingi huendana.

Majengo niliolinganisha yote ni 32 floors pia yako sabamba na majengo ya mzizima na lile GTC hotel,kwa hivyo yana make sense kuliko kulinganisha na mengine.second comparing mzizima na hilo jengo la 90m haileti vipimo halisi sababu liko kwenye background na kwa umbali kidogo.

Hii picha inaonyesha uhalisia kamili mzizima ilivyo fupi uki-compare na hilo jengo la 90m lililo nyuma yake
JamiiForums1338214797.jpg
 
General tyre ni hujuma tu mkuu, hivi unaweza kuniambia sababu za kile kiwanda kushindwa kurudisha returns au kushindwa ku operate licha ya uhitaji mkubwa wa bidhaa zake hapa East and Central Africa? Hizo pension funds zinapaswa kuwekeza kwenye viwanda vyenye tija na pia usimamizi uwe mkubwa mbn returns kwa viwanda ni Pi (3.14)
Ndio maana huwa nawaambia wafuasi wa Mwendazake ni wajinga.Unaweza wekeza pension funds kwenye risky businesses kama viwanda na kilimo? Una akili timamu kweli?

Niliwaambia mlete balance sheet ya kiwanda cha mabuti wanachofanya magereza na nssf mko kimya kwa sababu ni hasara tupu.

Sheria iliyoanzisha hizo pension funds imezitaka kuwekeza kwenye low risk businesses kama real estates, infrastructures na bonds na ndivyo zilikuwa zinafanya kabla ya Futuhi kuharibu kila kitu..

Ikafika mahala wastaafu wanakaa miaka 2-3 hawajalipwa mafao na wakilopwa wanapewa kiduchu,huu ni upuuzi wa watu washamba wasiojua biashara,viazi wa hivi walikuwa awamu ya 5 ..

Saizi wamempa mama Kazi kubwa ya kufufua uchumi utadhani nchi ilotoka kwenye Vita.
 
real estate? kweli ofisi au makazi mangapi yanashindwa kupata wapangaji? Machinga complex? Rocky city mall? Viwanda kama vya sukari au mafuta ya kupikia yanalipa na kama ikiwezekana pension funds zijikite huko!
Real estates ndio na ni sahihi,unategemea kupata wapangaji kama uchumi umeuharibu? Mbona before Mwendazake Real estates zilikuwa na wapangaji? Why after Magu ilianguka?

Hizo unazotaka wewe ni very risky industry na unajisemesha saizi Kwa sababu kuna upungufu but puplic parastatals haziwezi kushindana na private sector.

Kwamba wewe Geza kama MD wa Nssf unaweza acha kukomaa na kiwanda chako ukaweka efforts kwenye mradi wa serikali? Mistake kurudisha nchi kwenye zama za Mwalimu ambako hizo mashirika ya umma yalifeli vibaya ndio maana yakabinafsishwa..

Juzi tuu hapo VP ametoka kuwashangaa SIDO kushindwa kutengeneza hata Panga au sindano ndio ije kwenye biashara za risky kama za kilimo? Unadhani wawekezaji ni wajinga Sana kukwepa kilimo sio? Mabenk je unaona wanatoa pesa kubwa kwenye kilimo?

Ni afadhari hata wakawekeza kwenye utalii kuliko agro-industries.

Mwezi Juni tu hapo wakulima wa miwa Kule Mkulazi waliko nssf walitishia kuchoma miwa maana walidanganywa na nssf waache kulima mpunga walime miwa kwamba watanunua lakini wameshindwa kujenga kiwanda na mabenki yaliyoji commit kutoa pesa wamejitoa kwa sababu wanaona hakuna sustainability hapo baadae.

Kama hamna utaalam wa biashara na uchumi msi comment kabisa kwenye mada za hivi mtawaingiza chaka wale ambao kila ushauri wanapokea na kusababisha hasara kama nilivyoeleza hapo juu.
 
Back
Top Bottom