Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

pumbavu mama yako! Huwezi ku-dictate opinion yangu madudu ya malaika JPM (nepotism and parochial politics) lazma vikemewe pia!



We jamaa bwana, Hapo juu umepost JPM Kigongo Busisi Bridge then hapa tena unaponda huyohuyo jpm,
Unapost ndege za atcl daily na unacomplain hazikununuliwa inavyotakiwa..
but najua umejitoa tu ufahamu ila deep inside you you know jpm alikuwa Mwamba. Ulimfungulia countless threads humu ukimpongeza kwa mambo mengi mazuri aliyofanya wakati wa uhai wake.
You clearly don’t know what you stand for.
Sasa huo ndio upumbavu wenyewe Mkuu.
 
Uko sahihi
Hao kina geza na mwezie ni wapumbavu tu,, take it that way. Huhitaji kuumia sababu ya wapumbavu. JPM Legacy lives.
Huku kitaa watu hawamwelewi kabisa bi mkubwa,
But all in all jpm ameweka standard kiongozi anatakiwa afanye nini…
Game Over uko sahihi, huwezi kupuuzia
Beyond Tomorrow's Investment decisions ambazo Magu kaziacha.

Sisi tumejaa uswahili Swahili mwingi kiasi hata Kuhamia Dodoma watu wanapaona kama Chato. Yaani hata Daraja ya Busisi nalo ni kama upendeleo wakati mwisho wa siku ni masoko ya viwanda vya Dar.
 
Kibaha highway

Screenshot_2021-09-26-12-20-22.png
 
Jamani ifike mahali matusi na mambo ya kisiasa yaishe kwenye hii forum tuwe na ustaarabu kama watu wazima mambo ya kitoto wekeni pembeni kama mnataka siasa kuna majukwaa ya kisiasa hamieni huko.
 
Legacy ya Magufuli ni ya miaka 100, aliyoyafanya Magufuli yatawatesa Marais wengi wajao....

Watu wanaosema tuache Siasa turudi kwenye Battle, Nini ambacho tutakiweka zaidi ya ambavyo Magufuli ameanzisha na kuyaacha na aliovopanga kuavifanya ndani ya miaka 10?

Magufuli na Nyerere ndio viongozi wenye hadhi ya Urais tumewahi kuwa nao...
 
Legacy ya Magufuli ni ya miaka 100, aliyoyafanya Magufuli yatawatesa Marais wengi wajao....

Watu wanaosema tuache Siasa turudi kwenye Battle, Nini ambacho tutakiweka zaidi ya ambavyo Magufuli ameanzisha na kuyaacha na aliovopanga kuavifanya ndani ya miaka 10?

Magufuli na Nyerere ndio viongozi wenye hadhi ya Urais tumewahi kuwa nao...
Magufuli did nothing. Sgr, struggling gorge etc hakuna mradi umeisha ni mambo ya vijiweni tuu
 
10 Most Impressive Mega Projects In Tanzania




MY TAKE
Now mama's input on making sure those projects U/C r completed and those scrapped r revived and her accumenship in trade and commerce will make Tanzania go even further!
 
Back
Top Bottom