Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

President Samia sacks Tanesco boss

Tanesco pic

Beth pic

By Bethsheba Wambura
More by this Author

Dar es Salaam. President Samia Suluhu Hassan has revoked the appointment of Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) Managing Director, Tito Mwinuka.

A State House statement issued on Saturday September 25, stated that President Samia has appointed Maharage Chande as the new head of Tanesco.

Prior to the appointment, Mr Chande was the Regional Director For East, West and Central Africa at MultiChoice Africa with his base in Nairobi.

There was no immediate reason for Dr Mwinuka's removal at the helm of the utility company.

In the new the Head of State who returned from New York today appointed Omari Issa new Chairman of the Board of Directors of Tanesco replacing Dr Alexander Kyaruzi.

In the changes, Rural Energy Agency (REA) Managing Director, Amos Maganga's services have also been terminated and his place has been taken by Hassan Seif Said .

The head of the has also appointed Michael Minja as Oil and Gas Commissioner at the Energy ministry, he was the Managing Director at the Tanzania International Petroleum Reserves Limited (TIPPER).

“The president has also appointed Felschemi Mramba as Electric and Sustainable Energy Commissioner,” reads part of the statement.
Mramba is the former Tanesco Managing Director, prior to the new appointment he was the Chief Techinical Advisor of Tanesco Training School.

The new appointments took effect from September 23, 2021.

MY TAKE
Finger crossed, next is TRC ...
 
Haya majizi yako mengi sana yalipangwa strategically ila tutapruni yote kabla ya mwaka kuisha.
 
Kuna yule anaitwa Mwendazake miaka yote 6 Kazi yake ilikuwa ni ugomvi na majirani huku akiharibu biashara na kilimo chetu..

Madam President ni kama ameanza upya yaani kaachiwa zigo utafikiri hatukuwa na Rais,bure kabisa yule jamaa.
Hongera mama yetu 👇

Screenshot_20210926-092958.png

Screenshot_20210926-093041.png
 
Huku napo ni Chato?
Umeskia ndege ngapi kwa siku zinatua? 150 landings pre corona 60 now! Kule Chato international Airport, Air Tanzania imeacha kwenda baada ya mwendazake kufariki! Hii angle usijaribu kabisa maana nitakucharura ubaki ukitukana! BTW upanuzi huu unaoendelea ni mama!
 
Umeskia ndege ngapi kwa siku zinatua? 150 landings pre corona 60 flights now! Kule Chato international Airport Air Tanzania imeacha kwenda! Hii angle usijaribu kabisa maana nitakucharura ubaki ukitukana! BTW upanuzi huu unaoendelea ni mama!
Umeona hapo kuna ujenzi unaendelea au umeisha? We mzee lazima utakua punguani si bure
 
ujenzi unaendelea barabara inahamishwa na runway inaenda kuongezwa urefu! pia kuna ujenzi wa passenger building! Kule chato runway inaenda kuanikia mpunga!
Barabara inayoongezwa sio ya airport, airport imeisha tayari, inayoongezwa ni inayoingia mjini ambayo magu alishaiweka kwenye ilani, airport imeisha kinachosubiriwa ni jengo ambalo pia lipo kwenye ilani

Wewe punguani unaongea hivi as if magu alishindwa kufanya hivyo kumbe magu alishafanya mengi mno na hayo alikua ayamalizie ila kifo ndio kimemchukua

Unaongea as if hakuwa na uwezo na hiki ndio kinafanya uonekane takataka sababu IQ yako ni kama ya funza
 
Mkuu acha kupoteza muda na hizo takataka zinajiita [mention]Geza Ulole [/mention] na [mention]Opportunity Cost [/mention]
zinatuharibia uzi kwa kumpigia mromo huyo mama yao alierithi kiti akubalike licha ya uwezo mdogo alionao . Mambo ya kurithi kwa mianya ya katiba mbovu ndio gharama zake hizi, hatuna namna mkuu tuvumilie tu hii miaka minne, Yaleyale ya Kina Joyce Banda wa Malawi.
Tuendelee na battle Mkuu. Wachana na hao jamaa watakuchosha.
 
Mkuu napata uchungu sana ninapoona akili kubwa inadharaulika aisee, Geza na shoga zake wanamsimanga magu kwa kifo 😅😅😅😅 mtu badala asimangwe kwa uwezo mdogo au rushwa na ufisadi badala yake wanamsimanga mtu kisa amekufa na hapo ndio unaona hawa makahaba walivyo OP dah mbaya kabisa wanaemrival na magu ni tabularasa la mwisho 😂😂😂😂 Marekani wamemnyima hata mualiko pamoja na kujigamba na uanamke wake 🤣
 
Mkuu napata uchungu sana ninapoona akili kubwa inadharaulika aisee, Geza na shoga zake wanamsimanga magu kwa kifo mtu badala asimangwe kwa uwezo mdogo au rushwa na ufisadi badala yake wanamsimanga mtu kisa amekufa na hapo ndio unaona hawa makahaba walivyo OP dah mbaya kabisa wanaemrival na magu ni tabularasa la mwisho Marekani wamemnyima hata mualiko pamoja na kujigamba na uanamke wake

Hao kina geza na mwezie ni wapumbavu tu,, take it that way. Huhitaji kuumia sababu ya wapumbavu. JPM Legacy lives.
Huku kitaa watu hawamwelewi kabisa bi mkubwa,
But all in all jpm ameweka standard kiongozi anatakiwa afanye nini…
 
Barabara inayoongezwa sio ya airport, airport imeisha tayari, inayoongezwa ni inayoingia mjini ambayo magu alishaiweka kwenye ilani, airport imeisha kinachosubiriwa ni jengo ambalo pia lipo kwenye ilani

Wewe punguani unaongea hivi as if magu alishindwa kufanya hivyo kumbe magu alishafanya mengi mno na hayo alikua ayamalizie ila kifo ndio kimemchukua

Unaongea as if hakuwa na uwezo na hiki ndio kinafanya uonekane takataka sababu IQ yako ni kama ya funza
Aawapi Magufuli alikuwa na mpango wa kujenga jengo kubwa la abiria Chato! Na pia daraja lingine kama la JPM Mwanza pale Chato! Miradi yake ilikuwa huko! na ku-substantiate hilo umegaji wa ardhi mikoa ya Kigoma na Kagera kutengeneza mkoa mpya wa Chato ndo kilichokuwa kinachofuata! Vingine gelesha...

j_opag-2020-0064_fig_001.jpg
 
Barabara inayoongezwa sio ya airport, airport imeisha tayari, inayoongezwa ni inayoingia mjini ambayo magu alishaiweka kwenye ilani, airport imeisha kinachosubiriwa ni jengo ambalo pia lipo kwenye ilani

Wewe punguani unaongea hivi as if magu alishindwa kufanya hivyo kumbe magu alishafanya mengi mno na hayo alikua ayamalizie ila kifo ndio kimemchukua

Unaongea as if hakuwa na uwezo na hiki ndio kinafanya uonekane takataka sababu IQ yako ni kama ya funza
Eti Magu aliweka kwenye ilani? ilani iliandikwa na chama cha CCM! Na ukiangalia Chato airport haimo kwenye ilani!
 
Back
Top Bottom