Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ndo upumbavu wa watu wa Chatogang na Sukumagang! Kule ukiwa mawanamke mzee unauwawa kwa kashfa za uchawi! Yaani kabisa mwanamke aliyejikomboa kifikra na elimu yake mwenye hata uwezo wa kuongea lugha ya kigeni unadiriki kumsema hafikii PHD iliyoshindwa kuongea lugha aliyosomea! Nilishawaona upuuzi wao ndo maana nikaukataa!
 
Yeah huyo tumuacheni tu aweke siasa but cc tusim quote cz hatuna uwezo wa kumtoa, hata mods pia hawana uwezo wa kumtoa kwasababu kila mtu ana haki ya kusema atakacho ilimradi tu asivunje sheria za JF.

Hatumkatazi kuweka kile kinachompendeza tatizo jamaa ana visasi, utakuta anaweka habari nzuri tu kuhusu Rais Samia lkn mwisho lazima aweke maneno ya visasi which means yeye mwenyewe kuna baadhi ya mambo yanayofanyika serikalini hakubaliani nayo ila tu ni kwasababu ana visasi na ndiyo maana anaweka maneno flani flani ya kujiliwaza na kusubiri kuona kama kuna mtu atakereka zen yeye apate relief, so dawa yake ni kumpotezea tu ili akale alipopeleka mboga.
 
Hivi mbona magufuli anaabiwa namna hii? Mzee Malaika nadhani watu wakubali kulikuwa na positive na negative zake na zijadiliwe kimapana! Kibiashara nampa 0/10!
 
Kuna wale wajinga walikuwa wanasambaza barua humu kuwa huu mradi umesitishwa [emoji23][emoji23][emoji23]

Hehehehee hawa wakunya soon wataleft hii battle [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…