Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona Kuna watu Kwa makusudi tu wanataka huu uzi utupwe kapuni Kwa sababu ya lugha za hovyo hovyo.

Huu uzi kwangu umebadilisha mtazamo wangu sana katika nyanja mbali mbali. Nimechota maarifa mengi sana humu. Pengine inaweza kuwa ingekuwa vigumu sana kupata nondo kama hizo sehemu nyingine. Huu uzi nauheshimu Sanaa. Na Kwa kweli nimeufatilia Kwa muda sana.

Ndugu zangu msikubali huu uzi upotezwe hivi hivi. Rudini kwenye mstari. Tusiwape faida hawa wakunya. Naona tunawajazia risasi nyingi sana watakuja kutumaliza nazo sisi sisi. Ushindi wa battle ni tayari.. Ila uzi huu uendelee kubaki Kwa ajili ya marejeo.

Sent from my BLA-L29 using JamiiForums mobile app
 
😁😁😁😁😁😁😁 My ribs plzzzz
 

ehh [emoji102]
 

[emoji7]
 
Uoga umemaliza watu wengi sana duniani. Hatua ya ya Magu kusema tusitishane, ni kweli Ugonjwa upo lakini ukiogopa sana u avunja moyo Immunitu system.
 

[emoji7]
 
Uoga umemaliza watu wengi sana duniani. Hatua ya ya Magu kusema tusitishane, ni kweli Ugonjwa upo lakini ukiogopa sana u avunja moyo Immunitu system.
Sasa sababu hakua na uoga, si alikufa bado. What a stupid clown he was.
Yani umezungukwa na madaktari na advisers wa hali ya juu alafu unauliwa na corona sababu eti unajaribu kuprove mzungu wrong. May he rot in hell.
 

[emoji50]
 
Aisee duuh,ngoja niweke glass yangu ya wine pembeni niandike hii kitu,

Wandugu kitu naweza kutoa wosia ni kuwa ktk vita ya matusi mitandaoni, hakuna mtu yeyote anayeweza kusema atashinda kwa kuwa kila mtu yuko huru nyuma ya keyboard yake.

Cha msingi ni ku-ignore wale wote unaowaona wanakuharibia amani yako.

Kwa wale wanaojaribu kugombanisha watu kwa kuweka wedge between JPM na SSH kamwe hawatafanikiwa kwa kua viongozi wawili hao ni kitu kimoja in many ways, by the way SSH she is evenore radical than JPM, hili watu wengi hawajaliona wanadhani SSH atafunguliwa bomba la mafisadi, angalia Mbowe ananyea ndoo sasa mbona wakati wa JPM hakuweka ndani kwa kesi ya ugaidi.

You must kindly note that SSH ataendeleza miradi yote alianzisha JPM na ataleta mingine mipya na hata hatua anazofanya za kufufua miradi ambayo JPM aliipotezea kama Bagamoyo she will not do that blindly kama baadhi ya mafisadi wanavyotazamia.

Nawaasa tena muache kutukanana kwa minajili ya SSH na JPM, hao ni walewale, msipoteze mda kupotezeana heshima humu, kutukaniana wazazi wenu bila sababu za msingi.

At the end of the day hakuna anayejua kesho yake, jana slikuwepo shujaa JPM, leo hayupo, walikuwepo Eng. John Kijazi na Mfugale leo hawapo, so life is a bitch anything can happen to anybody regardless of your status.

My 2 cents

Peace,

Sayonara.

#MatusihapanaJF
#Heshimakwawote
 
Kijichi nani analipia ule upuuzi dau kauweka pale na mkwere? Mimi mwenyewe ni mpenzi wa skyscrapers lakini zenye akili, we unafikiri kiwanda kinajengwa bila due diligence?
Kwani kijichi wakiamua kuuza hawapati hela? Ila kiwanda kikipata hasara nani analipa? Hapa tunazungumzia tangible money sio expectations ya kupata profit. Kwenye business kuna kupata na kukosa. Mradi wa kijichi ulikuwa ni mradi mzuri tuu ila upigaji ndio ulidefeat the whole meaning ya huo mradi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…