Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,820
- 9,588
Mimi kama kigogo 2014 hamwezi nipata kamwe, ile fire wall nimeweka kwa server inalindwa vyema na cyber security experts.
nakazia hili
Mkuu hiyo page sio official ya GOT japo ipo verified.nimewapa hints, wamenijibuView attachment 1735935
Hii kampuni huwa naelewa Sana sema bongo saiv kuna ushindani mkubwa wa makampuni ya mabasi kama vile happy nation,frester,shabiby, dar lux etc Yani wanajitahidi saana kwenye best and convenient services kwa wanao abiri basi zao.
Sawa mkuu.No, otherwise Msigwa au serikali (waziri, katibu) wangekana .. tusubirie tu, mda utaongea..
kuna watu wengi wa serikali (mfano Zamaradi Kawawa if you know her) wameifollow
a look afu niambie Hapo vipi bado haujashawishika .?We dont share minds,
Duh.. Tony254Yaani kuna air conditioning ya kutosha hata mtu akinyamba hakuna wasiwasi 😁😁😆. Wanawasha AC tu na mambo yanakuwa shwari.
Km unacho mbona poa tukwani wewe kisoda unacho!!!
Wabongo wapi hao, manake naona wana force kingereza kitumikehuna lolote kilaza wewe,hukuwa hapa na mbuzi wenzako mnaponda watu kwa kutopenda kutumia kiingereza!!!!now umeelewa kwamba ni ushamba,baada ya kugundua wabongo wote tunajua kiingereza ila hatukitumii wakati wa kubishana na wakenya,badala yake tunajibu kwa kiswahili tu kukuonyesha tumeelewa ila hatutaki upuuzi kwenye lugha yetu lulu.
hatimaye sasa umeanza kupevuka kiakili baada ya kushinda humu muda mwingi,unaweza pata na bwana wa kibongo sasa.ila tatizo lenu mmekomaa kama kaka zenu.

Km kigogoNikuorodheshee ww Kama nani?
Km kigogo
Nikuorodheshee ww Kama nani?
Alichokifanya Tanzania, sio lazima ukijue, kwa sababu wewe ni mkenya.
Yaani huyu jamaa ananyima wasee usingizi.Nomaree😂😂Mimi kama kigogo 2014 hamwezi nipata kamwe, ile fire wall nimeweka kwa server inalindwa vyema na cyber security experts.View attachment 1735969
kwann?ile account, serikali wameifuta![]()
Mkuu bado hujaamini tu kuwa ile page haimilikiwi GOT!ile account, serikali wameifuta![]()


au GOT wameiripoti ikafutwa na fb.