babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
Amekimbia 😂😂😂Kwa nini usitume hii?View attachment 1284011
Amekimbia 😂😂😂Kwa nini usitume hii?View attachment 1284011
Unajua humu kuna haters sana ila sindano uliyompa aisee...Kwa nini usitume hii?View attachment 1284011
Wasubiri mwakaniMost skyscrapers in Dar are not even five years old so of course you won't see any "significant" economic value now. From hotels to offices to residential buildings, construction is vital for the Dar economy. Halafu, buildings pekee sio determinant ya uchumi. Kuna vitu vingine vingi, umeangalia usafiri? Kwasababu ya traffic, Dar hupoteza mabilioni kila mwaka. Na pia, Dar uwekezaji haukuwa mkubwa kama nairobi lakini kuna matumaini haswa kwenye uwekezaji na infrastructure. New airport terminal, BRT phase 2, SGR, Commuter rail, new hotels, new malls, real estate development....Give Dar five more years and then get back to me.
Tena hiyo 42% Kenya imebebwa sana umasikini Kenya ni zaidi ya 60%Usitulaumu sisi, ni World Bank ndio wanasema Tanzania umasikini ni 26% na Kenya ni 42%. Inawezekana WB wamepewa rushwa na CCM, huwezi jua. Hahahaha, Hahahaha.
So leo nmakubaliana na maneno ya world bank?![]()
![]()
. Only when it says something positive about Tanzania
![]()
Af report za leo leo hzWorld bank sio mimi
That's the spirit!Five years?? Mbn mbali sn mkuuWasubiri mwakani

Report za moto kabsaa 6/12/2019Tena hiyo 42% Kenya imebebwa sana umasikini Kenya ni zaidi ya 60%
Mombasa Gateway Bridge coming soonView attachment 1282539View attachment 1282540
So ni hvo vitu viwili unavo vingine😀😀😀Show me Nyali or Kizingo in that picture
Yes Sir!!By the way, where did you get the 42% you were talking about? Is it still from world bank?
Those are not imports but illegal traders ndo maana the word cheap imports have been quoted. Kenya is the leading milk producer in the region just in case you didn't know
Hebu tuambie mara ya mwisho gorofa kuanguka ilikua lini Tanzania na mm naeza kukuletea ushahidi kwa huu mwaka Kenya kushadondoka magorofa zaidi ya manne 😀😀😀 tatizo lako ww hupendi kushindwa alaf unaushindan wa kitoto
Things are getting hotter back home. I love this woman. She might become president in the near future, (2nd in line after vice president). This is the kind of democracy we need.
Yani sijui ni mwaka gani toka nimeskia gorofa limeanguka Tanzania lakini Kenya kila baada ya miezi 4 utaskia gorofa limeshuka 😀😀😀
December 2019
November 2019
Sept 2019
May 2019