Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa safi progress inaonekana, hongereni japo hakuna uwezekano wa kuwa km render, but congratulations in advance, tunataka mambo km haya weka niweke na sio daily sisi tu ila nyie mko na expressway tu, ok
Nyinyi mmekua nyuma sana ndio mnajenga vi flyover na highway ya maana, plus ka brt.., we just look vile mnapata orgasms na vitu vya kawaida and by the way it is in Dar only., Tz Tz Tz,
 
Tukija kwenye madaraja,barabara na interchange tulizojenga ndani ya kipindi cha miaka mitano . Ubungo one and only three levels interchange in EA 👇. Tazara fly over dsm 👇. Daraja la kigamboni . Daraja la sarenda 👇. Daraja kigongo busisi na mengine madogo madogo kibao
 
Mkunya sio mstaarabu asikwambie mtu nimeshasema mara nyingi amejaaliwa roho ya husuda,ukitaka dharau,majivuno ya kijinga na etc kaa naye utamuelewa tu, huaga wanaona wako special kushinda wote
Kuna sehemu kuna mpishi a.k.a chef mkenya anajionaga kama nini sijui . Hadi nikimsikilizaga nacheka. Yaani hadi mpishi anijiona expert kama profesa gani sijui . Wakenya wana mbwembwe sana
 
Pia ndani ya miaka mitano tunajenga makao makuu ya tanzanzania "dodoma" ambapo kuna miradi mikubwa kibao kama vile reli ya sgr kutoka dsm to dodoma 👇hii ni moja ya mahandaki manne kuelekea dom . Pia ujenzi wa mji wa serikali na km 51 za barabara 👇. Lakini pia ujenzi wa ikulu 👇. Dodoma outer ring road 112km . Na mavitu kibao shopping malls n.k
 
Back
Top Bottom