Justinr
JF-Expert Member
- May 22, 2020
- 3,709
- 6,832
Katika kuzungumzia maswala ya high quality nyie fukara wa kibera hampaswi kuzungumziana hao wakazi wanaishi maisha ya uchochole, wanajaza makao low quality miji yenu..,
Katika kuzungumzia maswala ya high quality nyie fukara wa kibera hampaswi kuzungumziana hao wakazi wanaishi maisha ya uchochole, wanajaza makao low quality miji yenu..,
Shujaa Pride!!!!😎😎😎😎 Second best team in the HSBC sevens circuit. Global superstars..... proud of the Boyz. Nyinyi endeleeni Kushabikia Simba vs Yanga!!
Mtanzania ni namna unavyojileta kwake, ukija kama wenyewe walivyo yaani kwa heshima, calmness, down to earth and politely utapata vyote hata ukitaka kumtapeli mtanzania kirahisi act in such characters utaondoka na everythingbetter waganda ×100. wao hawajioni special saaana kushinda kila mtu.. hawana kiburi. wao nikuchapa kazi tu
Nilikuwa naangalia EA news EATV wameripoti wenye magari Kenya wanalamika bei ya petrol kuwa kubwa hadi inawalazimu kwenda kununua petrol kwenye nchi jirani.Unatumiaga nguvu sana kuelezea machungu yako na wishes zako ili tufanane
Siwezi kwenda Burundi au Sudan au Somalia nikataka kuishi huko eti kisa chakula ni cheap na makazi
Mtu yeyote anaenda nchi ngeni na kutaka kuishi kabisa huko ni baada ya kuona tofauti kubwa sana ya ubora tofauti na atokako
Naweza kukuletea tens of screenshots like this kuonesha ni namna gani millions of Kenyans wish to be or relocate to Tanzania, punguza maumivu uukubali ukweli
View attachment 1946302
hapo hautapata jibu. kimya kimya tu bypass ndio mtindoShujaa Pride!!!!😎😎😎😎 Second best team in the HSBC sevens circuit. Global superstars..... proud of the Boyz. Nyinyi endeleeni Kushabikia Simba vs Yanga!!
![]()
Huwa wanajidanganya sana eti sababu wanafake gdp kubwa basi na bei na gharama za maisha zinatakiwa ziwe juu 😂😂😂 RIP Kenyas educationNilikuwa naangalia EA news EATV wameripoti wenye magari Kenya wanalamika bei ya petrol kuwa kubwa hadi inawalazimu kwenda kununua petrol kwenye nchi jirani.
Huyo mpumbav anayetoa machungu hapo...kama kweli wanamudu gharama ghali za maisha kwenye nchi yao kwanini wasinunue petrol nchini kwao na kuacha kulia lia ovyo!
wakunya angalieni vizur hii video
Hawa wakumbaf mkoloni aliondokaga na akili zao.Huwa wanajidanganya sana eti sababu wanafake gdp kubwa basi na bei na gharama za maisha zinatakiwa ziwe juuRIP Kenyas education
Unakuta mtu anaongea hivyo kwa kujitapa kabisa eti gharama za maisha kuwa juu ndio reflection ya ukubwa wa uchumi tena anakutolea mfano na Marekani
Elimu yao ndogo sana au ulimbukeni, wanasahau ughali wa maisha ni sababu serikali yao inawakamua kodi kubwa sana na gharama za uzalishaji ni juu zaidi ndio maana majority wanaishi kwenye mabanda ya bati kwa mlo mmoja![]()
Kilicho nishangaza zaidi ni swala la kuhitaji mkalimani (translator) hapo mpakani??Inawachukua siku 2 kutoka Nairobi mpaka Moyale (border na Ethiopia ) halafu wanakuja hapa kuweka fake figures kuhusu barabara zao. Yani jamaa wanajikamatisha wenyewe.
Kwa sasa hakuna sehemu hapa Tanzania unatumia siku mbili kufika. Hakuna!
![]()
Friendly border town where beer is cheap
You can get an Ethiopian beer brand in Moyale for as low as Sh50.www.the-star.co.ke
Haya ndio mambo wakenya wanapenda, wanasema as long the services are good they don't mind paying high charges ☝☝ services zenyewe sasa 😅😅😅 kila siku mgao wa umeme😅😅😅
Na sasa shirika linapumulia mipira ya mikojo😃Huko tulipita zamani.,
![]()
Ukipata data inasema uchumi wa kenya ni mara ya mbili ya Tanzania kwanza mm nafunga acc Cha pili ukijua debt to GDP ratio inamaanisha nn basi bangi umepinguzaUchumi wa Kenya ni mkubwa karibu mara 2 ya Tzn,na miaka ya 2015 plus uchumi wao umekua kwa wastani wa 5 plus ..
Imagine hadi mwaka huu growth rate yao iko juu ya Tzn,haikuwa hivi miaka 5 iliyopita.
Dhalimu mzilankende ndio aliharibu uchumi,miaka yake imekuwa useless, uchumi ulianguka akabakia kuleta propaganda kwamba mabeberu wanamuonea hadi kufukuza muwakilishi wao Tzn..
itakuwa bomba sanaWakuu nimepita pale Boma naona BRT inaendelea vizuri, wiki hii nikipata nafasi nitapiga picha niweke humu.
ni ulaya hiyo mkuu siyo bongowakunya angalieni vizur hii video
Lengo wanataka bidhaa za Tanzania pia zitambulishwe zote pale kwa pamojaPamoja na uzuri wa huu mradi lakini ni muhimu kuzingatia local content
Inajulikana watanzania wengi wamekua mabilionea kwa kuleta mizigo kutoka China na kuuza Tanzania na nchi jirani, kariakoo ni richest District in Tanzania kwa shughuli hii na uchumi unakua vibrant sababu maduka ya kariakoo ni ya wabongo
Sasa huyu mchina analeta maduka 3000 na bidhaa za hapa zitakua ni wholesale kwa bei sawa na China kwa quality ileile au juu zaidi, kama wanataka hii iwe viable na isiathiri uchumi wa importers wa Tanzania maduka 80% yamilikiwe na watanzania sababu wanunuzi kutoka Zambia, Mozambique, Burundi, Malawi, Rwanda, DRC, Uganda wakiona hivi watahama kariakoo sababu wa kariakoo hawataweza shindana na wachina wa ubungo
Hili hali hitaji kukurupuka kwenye sector ya biashara, import ndio kubwa na ndio imeajiri watanzania wengi, ikiwa monopolised na watu wachache (foreigners), wafanyabiashara wengi wa ndani wataumia!
Sababu sisi hatuzalishi, tunategemea tukanunue kwao tuje tuuze tupate kimia 2 maisha yaende, sasa wao wakikaba yote wa tengeneza wao, wasafirishe wao na waje wamuuzie final consumer wao, sasa sisi tuna kazi gani duniani hapa!
wanajihisi wao ni bora wanafikiri sisi ni watu wa kucheka cheka hovyo ni makatuni,Mtanzania ni namna unavyojileta kwake, ukija kama wenyewe walivyo yaani kwa heshima, calmness, down to earth and politely utapata vyote hata ukitaka kumtapeli mtanzania kirahisi act in such characters utaondoka na everything
Lakini ukitaka usikae ukaelewana na mtanzania muoneshee dharau, ujuaji mwingi, arrogance, disrespectful, much know hapo hutomuelewa mtanzania sadly wakenya wengi ndivyo mlivyoumbwa na hizo sifa so lazima watanzania uwaone miyeyusho tu
Wakenya wachache walionenda sawa na watanzania, shuhuda zao hizi hapa!
View attachment 1946400View attachment 1946401