Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 12,499
- 17,572
Hiyo ni sehemu ya kkoo wakenya wengi wakiona video za dar huwa wanasema mji wa dar hakuna watu kumbe awajui cbd ilivyo gawanyika hapa EA hakuna cbd yenye watu wengi kama dar ila kkooMwisho mtakuja na stori za - "kuna Dar mpya na ya zamani, Mwanza mpya na ya zamani, Zenji mpya na ya zamani" na blah blah blah nyingi zisizo na kichwa wala mkia.