Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,112
- 10,550
Naijua Dar mimi sihitaji propaganda zako., wewe jitekenye ukicheka.., pia mimi naweza kukuwekea picha zinazo onyesha matako ya Cairo Egypt ukashangaa utadhani Cairo iko nyuma sana lakini sivyo.., I understand perceptions na kucheza na vipicha.., video clips ni bora zaidi, kwanza drone views., hakuna kiswahili ni macho kutazama hali kamili ya maeneo..,Naam, sasa hapa ni cbd pamoja na Kariakoo. Ni mbali kidogo na yale maeneo niliyokuwa nakuelewesha mwanzo, pia Inategemeana tu na mpiga picha na quality ya camera yake, naweza pia kukuletea hapa picha za nairobi zilizopauka na ukashangaa vile mji wenu ni wa kawaida na mchafu sana, maana nairobi ni kinara wa uchafu ukanda huu wote sababu nyie wakenya ni wachafu kwa asili yenu[emoji3][emoji3][emoji3]
By the way, CBD ya Dar ina majengo mengi sana na mazuri na ya kisasa yanayomilikiwa na watanzania wenyewe,
Naweza kukupa picha nzuri zaidi ya hizo kwa dar
Na pia kuhusu BRT, kumbuka Tuna km 30 za brt na sasa tunajenga nyingine 20 na mwakani tunaanza ujenzi wa phase nyingine
Kumbuka pia tutakuwa na reli ya kisasa zaidi ukanda huu inaanzia hapa dar hadi mwanza na Kigali rwanda, awamu mbili za mwanzo zinakamilika hivi karibuni na kwa awamu ya kwanza tumetumia bilioni 2$ kwa pesa zetu tukawalipa waturuki watujengee, ina uwezo wa kusafiri kwa spidi ya km 160/h maana yake ni kuwa mwakani december nitakuwa na uwezo wa kudandia mwendokasi hadi stesheni na kudandia train ya kisasa express massa matatu nipo mji wa kisasa Dodoma,View attachment 1945902
View attachment 1945882
View attachment 1945883
View attachment 1945884
View attachment 1945885
View attachment 1945886
View attachment 1945887
View attachment 1945888
View attachment 1945889
View attachment 1945890
View attachment 1945903
View attachment 1945904
View attachment 1945905
View attachment 1945906
View attachment 1945907
View attachment 1945908
View attachment 1945909
Kama hii hapa ya Mombasa., nje ya Dar haupati mji kama huu..,