Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti hii ndiyo nchi yenye GDP ya $60bil huwa nacheka sana
JamiiForums1363657390.jpg
JamiiForums-1382370771.jpg
JamiiForums-2088400616.jpg
JamiiForums558047334.jpg
JamiiForums783266173.jpg
JamiiForums553905645.jpg
JamiiForums1094195735.jpg
JamiiForums1427504683.jpg
JamiiForums1185320260.jpg
 
Ilipanda wapi? Weka namba kuonyesha ilivyopanda sio kutoa povu za kijinga hapa.
Ndio mana nakwwmbia ww ni mafiii...kama unakaa Dar es salaam kaulizie bei mafuta toka 72 mpka 88000 mpka 90000 kwa dum 20 litre, Ngano ya 25 kg now ni 36500 from 28000 ,Ges toka 18000 kwa mtungi mdgo mpka 22000, mtungi mkubwa 51000 toka 46000, usiongee kusu tozo wala mafuta ya taa,petrol na dizel...algu uko apa kupiga matk kama mwehuu
 
we nawe unaropoka tu,uwe unasoma na kuelewa kinachomaanishwa
Nimeelewa ndio maana nikakujibu! Kakojoe ulale sasa!
1 - Kenyan athletic heroes are among the top athletes to benefit from the KSh 750 million ($ 7,194,000) in prize money for exemplary performance at the IAAF World Championships.
2 - The most rewarded Boston runner of all time was four times champion Robert Kipkoech Cheruiyot, a Kenyan runner who has earned a total of Ksh. 46.9 million.
3 - Olympics 2021 Japan,Kenyan athletes were paid $10,000 for gold medalists, $7,500 for silver, and $5000 for bronze.(nafkiri wajua tulikuwa na medali gapi)
4 - Group A Kenyan rugby players(full time career) earn around 165,000 Ksh p/m
NB-hapo sijataja personal events zenye wanaenda ku participate nchi za nje zenye hela yake kando na ya nchi!

Njooni mnipige sasa, bongolaland! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Njooni mnipige sasa, bongolaland!
ulichokielewa ni kujifanya umeelewa ndiyo maana nikakuambia kuwa we ni mropokaji tu na hakuna ulichokielewa
 
Kelele zote za mall zinaenda kufungwa hapa rasmi!

Pamoja na uzuri wa huu mradi lakini ni muhimu kuzingatia local content

Inajulikana watanzania wengi wamekua mabilionea kwa kuleta mizigo kutoka China na kuuza Tanzania na nchi jirani, kariakoo ni richest District in Tanzania kwa shughuli hii na uchumi unakua vibrant sababu maduka ya kariakoo ni ya wabongo

Sasa huyu mchina analeta maduka 3000 na bidhaa za hapa zitakua ni wholesale kwa bei sawa na China kwa quality ileile au juu zaidi, kama wanataka hii iwe viable na isiathiri uchumi wa importers wa Tanzania maduka 80% yamilikiwe na watanzania sababu wanunuzi kutoka Zambia, Mozambique, Burundi, Malawi, Rwanda, DRC, Uganda wakiona hivi watahama kariakoo sababu wa kariakoo hawataweza shindana na wachina wa ubungo

Hili hali hitaji kukurupuka kwenye sector ya biashara, import ndio kubwa na ndio imeajiri watanzania wengi, ikiwa monopolised na watu wachache (foreigners), wafanyabiashara wengi wa ndani wataumia!

Sababu sisi hatuzalishi, tunategemea tukanunue kwao tuje tuuze tupate kimia 2 maisha yaende, sasa wao wakikaba yote wa tengeneza wao, wasafirishe wao na waje wamuuzie final consumer wao, sasa sisi tuna kazi gani duniani hapa!
 
Wachina mbona saivi wanamaduka kibao tuu kariakoo, wanauza wholesale
 
Sure.
 
Back
Top Bottom