Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Angalia ulivyo andika porojo, tena kwa maumivu sana 😂 😂 😂 😂 unaomba na kutamani ikue ni ukweli, lakini wapi! changa moto ziko kwa jamii fulani, very small percentage tena sana, na wale wanakumbwa na njaa wanakumbwa na njaa kwenye ardhi yao ilio sehemu kame, kama Turkana na North eastern na sehemu za ukambani na coast, yaani ni kwao nyumbani, najua hilo haujui., ama unajitia hamnazo., Kenya ni desert and semi arid 80%!.., na hizo sehemu zinamilikiwa na wakenya tokea mababu., wazungu walienda central, kwa wakikuyu.,What will you do then you poor kenyans zaidi ya kulialia huko twita?,
You are only good at making noise and your politicians are clever enough to ignore your noise,
Nyinyi hakuna kitu mnaweza wafanya wenye nchi yao ambao ni wazungu na familia ya Kenyatta na wanasiasa wakikuyu na wakalenjini . Majority mpo majalalani hamna hata pa kushika, mnakufa njaa huku wazungu wakimiliki maelfu ya ardhi yenu kiduchu inayolimika, wanalima maua na chai na mirungi na kuuza ulaya na marekani halafu nyie mafukara mnaokufa na tai shingoni mnasomewa data za exports za maua kisha mnakenua.
Have you ever asked why all your black rich people are politicians or political affiliates ?
Ubepari wenu ni wa kijinga ndio maana mna kundi kubwa la maskini wa kutupwa wasioweza hata kupata mlo mmoja.
What poor Kenyans can do is speaking English with typical Kenyan tribal accent and aggressively reproducing like rodents in your poor tiny desert. Huku bongo kamwe hamtakaribishwa hata kama tuna malaki ya ardhi iliyo idle . View attachment 1946018
Unajua Laikipia kwanza ni wapi? huko ni kwa wakikuyu sana sana, kwa vile wana uhaba wa mashamba na ni wengi wanajituma sana na ndio maana wamefaulu kwa ukubwa sana kibiashara., so u think Laikipia ni Kenya yoote,,. unapata taabu sana., unatamani ikue ni ukweli wakenya hawana ardhi, eti nyumbani kwao ni slums.,haujui watu wameenda kujitafutia maisha mjini, mtu mwenye hali ya chini anaanzia kwa slums akijituma vizuri anaomoka anasonga mbele 😂 😂 😂 na mtu akifa kule slums anarudishwa kwao mashambani na kuzikwa kwa shamba lao.., wakikuyu ndio wanazika watu wao kwa public cemetery kwa wingi., because hawako traditional sana., hauijui Kenya ni guesswork uko nayo na opinions unazo okota mitandanoni.., bado ukweli ni ule ule, licha ya Tanzania kubarikiwa na natural resources na big arable land, bado mko ovyo zaidi ya Kenya.., jiangalie, upeleleze mlikosea wapi ama ni wapi mnakosea kila mwaka hamsongi mbele.., nikujenga projects ambazo haziwezi kusaidia mifukara., ni matajiri tu wana benefit..,

