Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukipata data inasema uchumi wa kenya ni mara ya mbili ya Tanzania kwanza mm nafunga acc Cha pili ukijua debt to GDP ratio inamaanisha nn basi bangi umepinguza
Kenya GDP $106b vs Tzn GDP $ 65b kwako unaona ni karibu mara ngapi hapo?

Debt to GDP ratio huwa ni maneno tuu haina shida yoyote ya maana kwenye uchumi so long as uchumi wa nchi unakua..Nchi nyingi Duniani madeni ni makubwa kuliko their respective GDP lakini hakuna shida..

Tatizo litakuja Nchi ikishindwa kulipa deni kama Zambia na hadi kufikia huko lazima growth iwe zero au below zero.

IMF data 👇

2936078_2021_09_21_01.03.22.jpg

2936077_2021_09_21_01.02.54.jpg
 
Pesa ya Kenya ni nzito sana ukifika huko. Beer ni ksh 70-100.
Ukibadilisha 15,000/= to tzsh Namanga utakula raha sana.
Nataka kujua je hizo bia zinazouzwa hiyo bei huko Kenya ndio bia hizo hizo zinauzwa Tzn 3,000? Kwamba bia ya EABL ndio zina uzwa kwa bei hizo?
 
Kenya GDP $106b vs Tzn GDP $ 65b kwako unaona ni karibu mara ngapi hapo?

Debt to GDP ratio huwa ni maneno tuu haina shida yoyote ya maana kwenye uchumi so long as uchumi wa nchi unakua..Nchi nyingi Duniani madeni ni makubwa kuliko their respective GDP lakini hakuna shida..

Tatizo litakuja Nchi ikishindwa kulipa deni kama Zambia na hadi kufikia huko lazima growth iwe zero au below zero.

IMF data 👇

View attachment 1946611

View attachment 1946612
Tanzania's GDP is above $70 bln! Just b'se hatujafanya rebasing haimaanishi kwamba tupo nyuma hivyo! wengine wanawinda mikopo ku-survive...!
 
Tanzania's GDP is above $70 bln! Just b'se hatujafanya rebasing haimaanishi kwamba tupo nyuma hivyo! wengine wanawinda mikopo ku-survive...!
Ni kweli Kenya wanatumia rebasing kwa kujihami na kusaka mikopo but nakumbuka miaka 3 iliyopita tunatumia base year ya 2015 ..

Sasa NBS si wa rebase Ili ku update Takwimu? Tuko 2021 tunatumia base year ya 2015 Ili iweje? 👇

Screenshot_20210921-053829.png
 
mnaringa saana na hio mkapa stadium yenu. Ile day mta host a high profile, worldclass sprinting event ka hii where speeds of upto 9.75(Bromell) and 9.76(Omanyala, a kenyan) are achieved .. aki walai, hio day na close my a/c JF where you also have the likes of Justin Gatlin, Mike Rodgers, Trayvon Bromell, and so on..
'zidini tu kushobokea Yanga na Simba!'

IMG_2425.jpg

IMG_2422.jpg

IMG_2431.jpg

IMG_2391.jpg

IMG_2420.jpg

IMG_2428.jpg
 
mnaringa saana na hio mkapa stadium yenu. Ile day mta host a high profile, worldclass sprinting event ka hii where speeds of upto 9.75(Bromell) and 9.76(Omanyala, a kenyan) are achieved .. aki walai, hio day na close my a/c JF where you also have the likes of Justin Gatlin, Mike Rodgers, Trayvon Bromell, and so on..
'zidini tu kushobokea Yanga na Simba!'

Unatupangia matumizi ya uwanja wetu, nakia gofu la kasarani limekula ban na fifa sababu halina vigezo, itabidi sasa mchezee mechi zenu hapa Tz
Meanwhile, cheki mambo huku,
IMG_2482.jpg

IMG_2481.jpg
 
Mtanzania ni namna unavyojileta kwake, ukija kama wenyewe walivyo yaani kwa heshima, calmness, down to earth and politely utapata vyote hata ukitaka kumtapeli mtanzania kirahisi act in such characters utaondoka na everything

Lakini ukitaka usikae ukaelewana na mtanzania muoneshee dharau, ujuaji mwingi, arrogance, disrespectful, much know hapo hutomuelewa mtanzania sadly wakenya wengi ndivyo mlivyoumbwa na hizo sifa so lazima watanzania uwaone miyeyusho tu

Wakenya wachache walionenda sawa na watanzania, shuhuda zao hizi hapa!

View attachment 1946400View attachment 1946401
hiyo video gani na ilikuwa inahusu nini
 
TZs are very dangerous pple. They realy good at shouting, showing-off, and full of pride. just if. just if Tz had our size of Gdp of $106B and us $60B, and had the largest and busiest Airtport, and busiest Port, AirTanzania among the leading airlines like KQ, had the largest no. of tourist arrival in the eastern africa region, had our kind of roads, and Dar the commercial and financial hub in the region, with many international headquarters and organizations, had the 3rd largest stock exchange in africa like the NSE, had a 2nd city like mombasa, hosted WRC and IAAF championships, dorminate in the Olympics, i just don't knw . sijui wakenya tungejificha wapi, sijui tungefanya nini kwa hii thread. maana hatunge pata ku breath, pengine hawangekua na time na sisi. ata hii thread pengine ingekua Dar vs Joburg na sio Dar vs nairobi
Usijikweze GDP yenu ni $102bn tuu
 
Propaganda haina maisha marefu...,​

Tanzania's national debt increases by $3.9 billion in one year, July central bank report reveals​

SUNDAY SEPTEMBER 19 2021​

Debt pic

Twin towers forming part of the complex that is the headquarters of the Bank of Tanzania in the heart of Dar es Salaam. A July central bank report shows that Tanzania’s debt stock rose by $3.9 billion in one year. PHOTO | FILE

Summary

  • The debt stock represented an increase of $436.8 million from the preceding month and $2.76 billion from July 2020.
ADVERTISEMENT

By Ashura Ngwai
More by this Author

Dar es Salaam. The national debt increased by $3.9 billion in one year as the government is implementing infrastructure projects and improve provision of social services.

According to the Bank of Tanzania’s (BoT) monthly economic review, the debt stood at $33. 7 bill at the end of July this year, having increased by $3.9 billion from July 2020.

External debt, comprising the public and private sector, amounted to $25.96 billion at the end of July 2021 and accounted for 77 percent of the national debt.

The debt stock represented an increase of $436.8 million from the preceding month and $2.76 billion from July 2020.

“The profile of external debt by borrower category remained broadly unchanged, with debt owed by the central government accounting for 77.7 percent,” BoT stated.

According to the central bank of Tanzania, transport and telecommunication activities accounted for more than a quarter of outstanding external debt, associated with ongoing mega infrastructure projects, followed by social welfare and education, as well as energy and mining.

ADVERTISEMENT

On the other hand, the government domestic debt amounted to Sh17.8 trillion at the end of July 2021, a decrease of Sh1.12 trillion from June 2021 and an increase of Sh2.7 trillion from the corresponding period in 2020.

Longer-term instruments, which are Treasury bonds and stocks, sustained dominance in the composition of domestic debt, accounting for 84.7 percent of the stock.

External debt service payments amounted to $25.2 million, of which $21 million was principal, the central bank said.

Unashangaa nini? Unajua deni la Mchina pekee kwa serikali ya Kunyaland ni zaidi ya $5.1 bln? Na hapo interest rate haijakokotolewa vizuri!
 
TZs are very dangerous pple. They realy good at shouting, showing-off, and full of pride. just if. just if Tz had our size of Gdp of $106B and us $60B, and had the largest and busiest Airtport, and busiest Port, AirTanzania among the leading airlines like KQ, had the largest no. of tourist arrival in the eastern africa region, had our kind of roads, and Dar the commercial and financial hub in the region, with many international headquarters and organizations, had the 3rd largest stock exchange in africa like the NSE, had a 2nd city like mombasa, hosted WRC and IAAF championships, dorminate in the Olympics, i just don't knw . sijui wakenya tungejificha wapi, sijui tungefanya nini kwa hii thread. maana hatunge pata ku breath, pengine hawangekua na time na sisi. ata hii thread pengine ingekua Dar vs Joburg na sio Dar vs nairobi
Kitu mnaweza ni kujificha nyuma ya rebase ....,icho kiGDP kinanuka uharo right and left
 
Back
Top Bottom