Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Shuttles hazibebi mizigo, kama uko mizigo itabidi utafute bus.Mizigo kama mabegi yanakaa wapi safari ndefu hivyo? Wengine wanasafiri na watoto wadogo, mama anakaaje na mwanae hapo? Changing diapers, feeding etc kwenye huo mbanano? Mnapumulianaje kwanza masaaa zaidi ya matano humo ndani?
nimehesabu kwa yalionekena hapo mpk mwisho clip yapo zaidi ya 94 

