Mac Bully 001
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 6,539
- 12,943
FN Herstal's FN SCAR (Belgium) 🇰🇪🔥
FN Herstal's FN SCAR (Belgium) 🇰🇪🔥
Ila iko kifurushi kwa channel zile hakina maana yoyoteAzam wanampelekea moto DSTV mpaka wakaleta kifurushi cha TZS 10,000 😀
Which building have we done that wasn't the same as the renders?Nice one let the building be exactly like the render in the picture!
What is this? 🤣 🤣 🤣
Picha ya kwanza ni RDU na ya pili ni KDF(KA)Hawa sio kdf teargas, kwanza hyo wa juu ni kitengo maalum jina ndio limenitoka..
Kwamba Tz kuna utapiamlo kuliko Kenya!! Mbn unajiaibisha mkuuUtapia mlo umeusahau tena, na kila mwaka data za WHO zinaonyesha?
![]()
Tanzania: children malnutrition 2021| Statista
As of November 2021, **** percent of children under five years suffered from chronic malnutrition in Tanzania.www.statista.com
View attachment 1923654
View attachment 1923661





Mihogo daily mbona utapiamlo usiwahusuKwamba Tz kuna utapiamlo kuliko Kenya!! Mbn unajiaibisha mkuu![]()
Nyani haoni kund... Ushaona sasa, ni facts tu hapa natupa! 🤣 🤣 🤣Kwamba Tz kuna utapiamlo kuliko Kenya!! Mbn unajiaibisha mkuu![]()
Huyu pumbavu kumbe Simba alafu namkubali kichizi
Jezi za mwaka huu mtani kajaribu 1-1






Dar kubwa sana mkuu hata mimi na wewe hatuijui vzr.kumbe ukiingia ndan ya hili jengo la TPA upande wa baharin kumbe kuna lami ya two lanes .. wiki hii niliingia na gari hadi ndan
Hehehehe kama Tz kukiwa na utapiamlo basi Kenya kutakukuwa na kifo kabisaMihogo daily mbona utapiamlo usiwahusu




Moja moja wapi jezi za Tunisia hizo, mnalazimisha au sio
Jezi za mwaka huu mtani kajaribu 1-1




Emojis hazitakusaidia hapa, utapiamlo tz ni janga la taifaHehehehe kama Tz kukiwa na utapiamlo basi Kenya kutakukuwa na kifo kabisa![]()
Huyu pumbavu kumbe Simba alafu namkubali kichizi![]()
























Vifo vitokanavyo kwa njaa ni nembo ya taifa KenyaEmojis hazitakusaidia hapa, utapiamlo tz ni janga la taifa
Mm mwenyewe nina Dstv najuta aysee, ila soon narudi nyumbani kumenoga.nimeona sehem ligi kuu Tanzania na ligi kuu Zanzibar zitakuwa zinaonyeshwa na Azamtv (official broadcaster) na competitions nyingine kama Cecafa, FA etc
it’s a very good time sasa niwe na kisambusi cha azam.. wazoefu .. ni bundle/kifurushi kipi ni nzuri kununua huko azam?