Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sooner than leter,the cables zitanza kunganishwa
20210904_150919.jpg
20210904_151025.jpg
 
Huyu ndiye tajiri namba moja EA hao wengine wasenge tu.
Geza Ulole huwa anawalinganisha Bakhressa na Mo kiukweli hakuna uhalisia kabisa, Bakhressa kamuacha Mo mbali sana, kinachotokea ni kama ushuzi wa GDP kati ya Tz na Kenya, lkn on ground Bakhressa yupo sayari yake, Mo binafsi anamuogopa Bakhressa kama Kenya inavyoiogopa Tz.
 
Kariakoo imekuwa mbaya kila siku wanyonge wanaongezeka, mkuu wa mkoa hakuna anachofanya, wewe subiri siku chache zijazo BRT buses zitakuwa hazipiti pale, ni upumbavu uliokithiri, siungi mkono kabisa huu ujinga.
 
Geza Ulole huwa anawalinganisha Bakhressa na Mo kiukweli hakuna uhalisia kabisa, Bakhressa kamuacha Mo mbali sana, kinachotokea ni kama ushuzi wa GDP kati ya Tz na Kenya, lkn on ground Bakhressa yupo sayari yake, Mo binafsi anamuogopa Bakhressa kama Kenya inavyoiogopa Tz.
kwalipi lilikofanya kusema hili? Mimi sishangilii watu kwa ushabiki bali kwa balance yao! Labda kama Bakhresa anakwepa kodi!
 
"Kenya is not portrayed well in the media. It is definitely the most developed country in East Africa and most of subsaharan Africa"
"I love Tanzania and Uganda but the infrastructure there cannot match Kenya's. Nairobi and Mombasa are more developed and modern than Cities in the other two countries. Paved roads everywhere".

Sio maneno yangu bali ya huyu mzungu. Si huwa mnasema mzungu hawezi danganya mkipost google images za kibera? 🤣 🤣

hahahahah...... mwanzo..... hii☝ Sportpesa, headquarter ilikua kenya, nairobi.! ni kwasababu tu serikali ya kenya haikutaka vijana wake wakae wazembe kwa kubugia gambling gambling.. ikaipiga marufuku vibaya sana, ndo maana sahizi itapatikana tz.
sasa nyinyi mnaturingia kitu ambacho tulikitapika😝😝
 
kwalipi lilikofanya kusema hili? Mimi sishangilii watu kwa ushabiki bali kwa balance yao! Labda kama Bakhresa anakwepa kodi!
Hehehehee kati ya Mo na Bakhressa nani anayekwepa kodi, hivi ukiangalia tu kwa macho ya kawaida bila kutumia elimu unadhani nani anayekwepa kodi kati ya hawa watu wawili, mm nina ndugu yangu anafanya kazi MeTL unaambiwa zile mashine za kuhesabu products ili zikatwe kodi zilikuwa hazifanyi kazi miaka nenda rudi pale MeTL ya Vingunguti mpk alipoingia Magufuli ndiyo ikabidi zianze kufanya kazi.

Wafanyakazi wa kawaida wanalipwa ela mbuzi ni aibu hata kuisema na haitoki kwa muda, wafanyakazi wa chini pale MeTL wote wana maisha magumu mno huwezi kuwalinganisha na wa Azam hata kwa bahati mby, may be unaongelea ushabiki tu lkn kiuhalisia Mo na MeTL ni madeni kwa taifa tunayoyabeba mgongoni.

Magari yake 99% ni mabovu, viwanda vyake vichafu, bidhaa zake low quality kiasi cha kwamba yeye mwenyewe hatumii, bidhaa ambayo Azam inapata faida ya sh 100 basi MeTL itapata sh 700 kutokana na u low quality wa bidhaa na nahisi hii ndiyo sababu jamaa anapata faida kubwa kuliko Azam, but kiuhalisia huwezi kumfananisha Mo na Bakhressa huo ndio ukweli nenda pande zote za dunia ukweli utabaki hivyo.
 
"Kenya is not portrayed well in the media. It is definitely the most developed country in East Africa and most of subsaharan Africa"
"I love Tanzania and Uganda but the infrastructure there cannot match Kenya's. Nairobi and Mombasa are more developed and modern than Cities in the other two countries. Paved roads everywhere".

Sio maneno yangu bali ya huyu mzungu. Si huwa mnasema mzungu hawezi danganya mkipost google images za kibera? 🤣 🤣

Magumashi Republic.
 
Back
Top Bottom