Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_0800.jpg
 
Kumbe Tanga port bado inafanya double handling? Yaani mizigo inapakuliwa mara mbili kwa sababu berth ya Tanga port haiwezi kuhandle meli kubwa? Mpo nyuma sana jameni.
Nakumbuka ile siku unaandika "mizigo zinapakuliwa" [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Yani Kenya mpk leo tunavyoongea bado kuna cholera wkt Tz ni history, sasa cjui tunashindana nini hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Utapia mlo umeusahau tena, na kila mwaka data za WHO zinaonyesha? 😂


Screenshot_20210904_164907.jpg

Screenshot_20210904_165420.jpg
 
Back
Top Bottom