Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_20210904_203709.jpg
 
Kwa kweli Tanzania has no shortage of fools😂😂😂, how can a bus with a door on the left side be served by stations on the right side of the bus? Kwani passengers watakuwa wanashuka kitumia dirisha ama? Please hata kama ulizaliwa na ujinga please try to adapt to modern ways of reasoning 😂😂🤣🤣😂
 
Hehehehee kati ya Mo na Bakhressa nani anayekwepa kodi, hivi ukiangalia tu kwa macho ya kawaida bila kutumia elimu unadhani nani anayekwepa kodi kati ya hawa watu wawili, mm nina ndugu yangu anafanya kazi MeTL unaambiwa zile mashine za kuhesabu products ili zikatwe kodi zilikuwa hazifanyi kazi miaka nenda rudi pale MeTL ya Vingunguti mpk alipoingia Magufuli ndiyo ikabidi zianze kufanya kazi.

Wafanyakazi wa kawaida wanalipwa ela mbuzi ni aibu hata kuisema na haitoki kwa muda, wafanyakazi wa chini pale MeTL wote wana maisha magumu mno huwezi kuwalinganisha na wa Azam hata kwa bahati mby, may be unaongelea ushabiki tu lkn kiuhalisia Mo na MeTL ni madeni kwa taifa tunayoyabeba mgongoni.

Magari yake 99% ni mabovu, viwanda vyake vichafu, bidhaa zake low quality kiasi cha kwamba yeye mwenyewe hatumii, bidhaa ambayo Azam inapata faida ya sh 100 basi MeTL itapata sh 700 kutokana na u low quality wa bidhaa na nahisi hii ndiyo sababu jamaa anapata faida kubwa kuliko Azam, but kiuhalisia huwezi kumfananisha Mo na Bakhressa huo ndio ukweli nenda pande zote za dunia ukweli utabaki hivyo.
Kiuhalisia Bakhressa yuko karibu sana na Dangote kwa utajiri, it's a matter of time Forbes wakisha m-profile Bakhressa ndio Afrika itajua vizuri...
 
Hehehehee kati ya Mo na Bakhressa nani anayekwepa kodi, hivi ukiangalia tu kwa macho ya kawaida bila kutumia elimu unadhani nani anayekwepa kodi kati ya hawa watu wawili, mm nina ndugu yangu anafanya kazi MeTL unaambiwa zile mashine za kuhesabu products ili zikatwe kodi zilikuwa hazifanyi kazi miaka nenda rudi pale MeTL ya Vingunguti mpk alipoingia Magufuli ndiyo ikabidi zianze kufanya kazi.

Wafanyakazi wa kawaida wanalipwa ela mbuzi ni aibu hata kuisema na haitoki kwa muda, wafanyakazi wa chini pale MeTL wote wana maisha magumu mno huwezi kuwalinganisha na wa Azam hata kwa bahati mby, may be unaongelea ushabiki tu lkn kiuhalisia Mo na MeTL ni madeni kwa taifa tunayoyabeba mgongoni.

Magari yake 99% ni mabovu, viwanda vyake vichafu, bidhaa zake low quality kiasi cha kwamba yeye mwenyewe hatumii, bidhaa ambayo Azam inapata faida ya sh 100 basi MeTL itapata sh 700 kutokana na u low quality wa bidhaa na nahisi hii ndiyo sababu jamaa anapata faida kubwa kuliko Azam, but kiuhalisia huwezi kumfananisha Mo na Bakhressa huo ndio ukweli nenda pande zote za dunia ukweli utabaki hivyo.
Nakuunga mkono kwa hili
Mo n mbabaishaji saba niliwahi kaa na wafanyakazi wa kiwanda chake cha nguo pale moro (polyster /21 century) huezi maini mtu anafanyakazi 12hrs+/6 days analipwa 150000 kwa mwezi
Pia jamaa ankwepa sana kodi nliwahi ona nguo zinazalishwa pale ila cha ajabu znapigwa made in nigeria niliumia sana. Kile kiwanda n kichafu balaa na wafanyakazi wamechoka sana hadi wanatia huruma
 
Hata wakiweka vi figure vyao vya forbes cjui vya matakataka gn lkn hakuna kama Bakhressa, weee wacha kabisa na tuiue hii mada cz ni kukosa heshima kabisa mkuu.
 
Nakuunga mkono kwa hili
Mo n mbabaishaji saba niliwahi kaa na wafanyakazi wa kiwanda chake cha nguo pale moro (polyster /21 century) huezi maini mtu anafanyakazi 12hrs+/6 days analipwa 150000 kwa mwezi
Pia jamaa ankwepa sana kodi nliwahi ona nguo zinazalishwa pale ila cha ajabu znapigwa made in nigeria niliumia sana. Kile kiwanda n kichafu balaa na wafanyakazi wamechoka sana hadi wanatia huruma
Wafanyakazi wengi wa kwa Mo hususan wa daraja la chini hawawezi kulipa kodi kwa muda, yn wana maisha magumu kuliko Wakenya, hebu fikiria mtu anafanya kazi kuanzia saa 1 asubuhi mpk saa 12 jioni analipwa 6500
 
Kwa kweli Tanzania has no shortage of fools, how can a bus with a door on the left side be served by stations on the right side of the bus? Kwani passengers watakuwa wanashuka kitumia dirisha ama? Please hata kama ulizaliwa na ujinga please try to adapt to modern ways of reasoning
Wewe ndio mpumbavu ungekuwa na busara ungeficha ujinga wako. Brt buses have doors on both sides of the bus. Njoo tz usafishe macho kidogo.
 
Utapost hivyo vituo viwili mpaka lini.? .. et mnadai kuna BRT kwenu while you guys have only two bus stop
Wakenya ni janja janja nyingi kuna nchi Afrika wana njia za treni za kisasa km100 wanajipiga kifua sasa hiyo brt kenya sijui kama siyo vituo 4 ama 6 tu ,tena nauli itakuwa kubwa sana kiasi itakuwa ni mabasi kwa matajiri tu maana kwa mabasi yao ya kawaida machafu nauli ni ksh48 sawa sawa na tsh1000 tena kwa umbali usio zidi km8 hadi 10 tu
 
Back
Top Bottom