Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,927
- 103,797



Achana na hawa Wajinga!even on power and water availability sio?
Du, the greater east and central .
So afadhali matatu kuliko milingoti mji mzimaJamaa wana domo kweli, yani majengo marefu matatu wanajikuta wa mambele
Talk for Tanzania bana juu hamnanga barabara huko. Hapa Kenya we have far much better roads than the ones in Nigeria. I would advise you to take a tour to Nairaland uone venye Kenya is giving Nigerians sleepless nights huko😂😂.
This road here is way better than the one in Abuja.
View attachment 1917695
View attachment 1917693
ati?. wee fala unadaisha ajeThough old, this highway is better than anything Kenya drems of!
![]()
Sasa hapo kuna kitu gani zaidi ya majengo mawili matatu na barabara tuWewe ndio huna bundles wa kuangalia mapicha ama YouTube, you depend on what you are being told. Nigeria had her downside but I can assure she is better than Tanzania in most things. Below are pictures of Abuja, I doubt there is any city in Tanzania that can rival this.
View attachment 1917566
View attachment 1917567
View attachment 1917568
View attachment 1917569
View attachment 1917570
View attachment 1917571
View attachment 1917572
View attachment 1917573
View attachment 1917575
Sisi tuliujumiwa na wazungu kuzuia bwawa la umeme kujengwa vingi tungekuwa vizuri sana kwenye umeme ila nigeria umeme unakatika ovyo ovyo majenereta mji mzimaNigeria electricity connectivity is 56% Tanzania is 37%![]()
Nigeria hakuna kitu mimi nimekuambia kwa nailand forum wakenya mkizingua wanigeria wanataja tz tu mnakimbia barabara zetu na flyover zetu tunazo jenga zinazingatia brt system na barabara tunazo nzuri sana wakenya wanao tembea tz wanajua nchi nzima tumeunganisha na barabaraJamaa wana domo kweli, yani majengo marefu matatu wanajikuta wa mambele
Sisi tukiamua kupiga vipande barabara zetu mbona mtakimbia humu
Mbona wapo kihuni huni sana aisee
Mkuu usipoteze muda kuongelea Nigeria, hao mafala wanakupoteza maboya kwa kutafuta usaidizi. Now imekuwa Tz vs ( Kenya, Nigeria, Ghana, Senegal, Uganda) combinedSisi tuliujumiwa na wazungu kuzuia bwawa la umeme kujengwa vingi tungekuwa vizuri sana kwenye umeme ila nigeria umeme unakatika ovyo ovyo majenereta mji mzima








