Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 22,104
- 31,353
Kenya ni yaki slum slum ndiyo maana ombaomba wanapapenda ukizingatia mungu wa ombaomba anapatikana kenya ,uhuru kenyattaHawa ndugu zenu waliojazana kwetu huku ndio husababisha tuwaone mkiwa watu wa hovyoo sana..... Tatizo uzembe wenu ndio umewachelewesha, leo hii uchumi wetu ni mara mbili yenu ilhali mna kila kitu huko kwenu.