The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Ila huyu anatakiwa akapigane nje cz hawa marefa wa hapa huwa siwaelewi kabisa, kwa mfano pambano hili amelimaliza vp wkt jamaa bado alikuwa na uwezo wa kuendelea?
Ila huyu anatakiwa akapigane nje cz hawa marefa wa hapa huwa siwaelewi kabisa, kwa mfano pambano hili amelimaliza vp wkt jamaa bado alikuwa na uwezo wa kuendelea?
Refa anatia aibu!Ila huyu anatakiwa akapigane nje cz hawa marefa wa hapa huwa siwaelewi kabisa, kwa mfano pambano hili amelimaliza vp wkt jamaa bado alikuwa na uwezo wa kuendelea?
Aibu sana.Refa anatia aibu!
Umeona hilo ghorofa la mabati pembeni

Zimetoka takwimu kwamba Kenya ni nchi yenye maghorofa mengi ya udongo dunianiUmeona hilo ghorofa la mabati pembeni![]()
![]()
![]()










una-post vitu gani hamna link wala havisomeki?Tulipofikia kama Taifa lenye GDP kubwa kati ya mataifa machache Africa.
Video of Suspected Starving Kenyans Slaughtering Poor Hyena For Meat Catches Mike Sonko's Attention
pmeja
Sep 4, 2021 6:44 AM
[https://res]
A viral video of suspected starving Kenyans slaughtering hyena for meat has caught the attention of former Nairobi Governor Mike Sonko.
A group of men and women were captured skinning a hyena that they had killed, and according to viral reports, they had slaughtered the poor animal for meat.
"Kwani unaogopa(are you afraid)", one of the men was heard saying as he encouraged those who were skinning hyena to continue.
It is believed the video was recorded in Turkana County.
Sonko reacts
[https://res]
Mike Sonko reacted by inquiring about the exact region where the video was recorded so that he could help the residents if possible
Azam wanampelekea moto DSTV mpaka wakaleta kifurushi cha TZS 10,000 😀Azam wanajitahidi sana kuamsha michezo Tz na impact yake tunaiona, hii ndiyo maana ya kuwa na matajiri wenye kujielewa co tajiri muda wote unawaza profit tu, waza profit lkn angalia na utu. Safi sana Bakhressa group of company![]()
Azam wanampelekea moto DSTV mpaka wakaleta kifurushi cha TZS 10,000 😀
Mlitaka mshkaji afe?!😝😝😂😂Hamuoni alivyeenda kuhemea kwenye kamba kule!!!Mwakinyo ametupa ngumi ngapi jamaa hawezi rudisha mapigo!!!Alishatepeta wangeendelea angepata kipigo zaidi ndo maana hata team yake na yeye mwenyewe hawaja complain!!!!Wamekubali yaishe.😂Refa anatia aibu!
Same person kasema ni watu 300k ndio tayari wamechanja, sasa million 1 zimeisha lini?soma taratibu.. Rais anaendelea kufanya juhudi (atafanya juhudi) za kupata chanjo nyingine zaidi baada ya chanjo ya kwanza kuisha
Kaangalie Instagram account ya Mike sonko dah it's very sad . Sijui ni kweli au lah! Sijui mmemkosea nini Mike sonko wakenya? Hivi kweli fisi analiwa?una-post vitu gani hamna link wala havisomeki?