Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,905
- 9,730
Kmmke mombasa ikapata tower tatu za blue, dar tupa kuleee👉👉👉💩💩
napaona kidimbwini!
Tatizo sio kukusanya kodi ...ila huwezi kueleweka kwa kutetea kulimbikizia makodi mengi kwa wananchi mfano tozo za laini, wazo lake halikuwa baya na sidhani kama kungekuwa na viwango reasonable watu wangelalamikia, aya ukiangalia tozo za pango kukatwa kupitia umeme huoni ni wazi anae shambuliwa ni nani?...Je mwananchi huyu unategemea acheke ?Kulipa kodi ni wajibu mzee kwa ajili ya kuwa huru huwezi kutegemea wahisani ndumilakuwili kama IMF na WB kila siku, wahisani wenyewe wanatoza hizo kodi kwao kutupa mikopo! Ukiwabana sana wawekezaji unaongezaje ajira sasa? Na nani kakuambia matozo kwao yatatosha? Na unawezaje ku-compete katika kuvutia wawekezaji na kodi kubwa kwao? Mimi namshauri mama aache expenses zisizo na tija kubeba kundi wakati anazungumzia kujenga mahospitali na anatoza zaidi kodi si akili! Anapaswa aonekane akibana matumizi pia!
Vitu kama hivi ndio vinachangia sna tax deviationKulipa kodi ni wajibu mzee kwa ajili ya kuwa huru huwezi kutegemea wahisani ndumilakuwili kama IMF na WB kila siku, wahisani wenyewe wanatoza hizo kodi kwao kutupa mikopo! Ukiwabana sana wawekezaji unaongezaje ajira sasa? Na nani kakuambia matozo kwao yatatosha? Na unawezaje ku-compete katika kuvutia wawekezaji na kodi kubwa kwao? Mimi namshauri mama aache expenses zisizo na tija kubeba kundi wakati anazungumzia kujenga mahospitali na anatoza zaidi kodi si akili! Anapaswa aonekane akibana matumizi pia!
Sauti ya mpuzi...Sgr ni sgr mambo ya electrical tupa kuleeee[emoji117][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji90]
Quality buildings[emoji551]View attachment 1906615
What about this shithole[emoji1787][emoji1787][emoji1787]The best of Dar CBD in one photo.., thank you NDINDA.., nime "press" control S.
Ww ni kizuuu embubjaribu ujinga wako tuoneParklands>>>>>dar cbd. Kama unapinga niquote
Pale fool anajaribu kuplay smartAfter 60 years of independence hii ndo vijumba wamejenga, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1906437
Tafuta CBD au k/koo apo[emoji23][emoji23][emoji23]unajua kufungua bakuli tuuuKmmke mombasa ikapata tower tatu za blue, dar tupa kuleee[emoji117][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]View attachment 1906515View attachment 1906516
Huyu mama tumepigwa tukubali tukatae, tuna katiba mbovu mno, katiba ambayo akitokea mzalendo nchi inaneemeka ila akitokea borgus lazima kilio kisikike, kwa bahati mby wazalendo ni wachache na ndiyo maana na conclude kwamba tuna katiba mbovu duniani, katiba ya karne ya 20 inakwenda kuamua maisha ya kizazi cha karne ya 21.Tatizo sio kukusanya kodi ...ila huwezi kueleweka kwa kutetea kulimbikizia makodi mengi kwa wananchi mfano tozo za laini, wazo lake halikuwa baya na sidhani kama kungekuwa na viwango reasonable watu wangelalamikia, aya ukiangalia tozo za pango kukatwa kupitia umeme huoni ni wazi anae shambuliwa ni nani?...Je mwananchi huyu unategemea acheke ?
Hao hata wajenge nini lkn kitakaa ushagoo kutokana na nature pamoja na akili zao mbovu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]What about this shithole[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1906627