Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Second longest tunnel in africa, ngong 4.5kmView attachment 1905950View attachment 1905951
second wapi? Ni sawa sisi tuunganishe those 3 tunnels halafu tu-claim the spot! Hamna stand alone tunnel ya 4.5 km Kunyaland! tunnel ina sidewalks level moja na railtrack! 🤷‍♂️ 🙆‍♂️

Size yake TAZARA tunnels yaani copycat of TAZARA
Screenshot 2021-08-24 101046.png
Screenshot 2021-08-24 101136.png
 
second wapi? Ni sawa sisi tuunganishe those 3 tunnels halafu tu-claim the spot! Hamna stand alone tunnel ya 4.5 km Kunyaland! tunnel ina sidewalks level moja na railtrack! 🤷‍♂️ 🙆‍♂️

Size yake TAZARA tunnels yaani copycat of TAZARA
View attachment 1905962View attachment 1905963
Tangu ugundue huu uzi umekua engineer ghafla, skiza hio 4.5km ni section moja kuna zingine mbili za 1.6 na 1. So the total length is 7.1km.
👇👇

East Africas longest railway tunnel
 
Huyu mama ashukuru mtangulizi wake alifanya mambo ya maana sana kukosa hivyo angeonekana kituko kuliko mfano, hajui afanye nini maskini.

Sio hajui, ila swala ni kukubali kuendeshwa na wale walio mfikisha hapo, wakina Kikwete.

Nashangaa, kwanini usalama wanamwacha kikwete aendelee kuushi.

Mwanae anatafuta nafasi ya waziri wa ulinzi kwa kasi mno, siyo shangaa akitangazwa yeye au Makamba. Lets wait and see.
 
Hasira zinazidi unapogundua makali ya kodi ndo yanalipia misafara ya mamia ya wasindikizaji!

Ni bora Magufuli aliwabana wawekezaji kwenye kodi na kutuachia tupumue kuliko huyu aliye wachimbia biti watumishi kuwa ataki kuona wakitoshana nguvu kwenye kodi na Barrick nacwawekezaji wengine, then kutubebesha mzigo wa kodi wananchi.

So sad.
 
Kulipa kodi ni wajibu mzee kwa ajili ya kuwa huru huwezi kutegemea wahisani ndumilakuwili kama IMF na WB kila siku, wahisani wenyewe wanatoza hizo kodi kwao kutupa mikopo! Ukiwabana sana wawekezaji unaongezaje ajira sasa? Na nani kakuambia matozo kwao yatatosha? Na unawezaje ku-compete katika kuvutia wawekezaji na kodi kubwa kwao? Mimi namshauri mama aache expenses zisizo na tija kubeba kundi wakati anazungumzia kujenga mahospitali na anatoza zaidi kodi si akili! Anapaswa aonekane akibana matumizi pia!
 
Back
Top Bottom