Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mammae mzee kapiga luku so mchezo, too much sauce too much Juice 👞👞
2893370_Screenshot_20210822-122004.jpg
 
Nchi tangu mwaka 60 zina flyover, japo kuna nchi unaweza kupambana nazo kimtindo mfano SA kwa kuwaambia nyie ni wajinga na wazembe, vitu vyote mnavyolingia hamjajenga nyie bali ni wazungu, kukosa wazungu nchi yenu ingekuwa hovyo sn, lakini co Egypt ya Faraoh mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenya mzungu kajenga nini
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Ila bro unachekesha sana wewe .. hayo mashindano ya kimtindo yameniacha hoi, eti "kushindananao kimtindo" [emoji23][emoji23], hizo nchi zimeendelea sana alaf ni kitambo, suala la eti jirani waponao level moja kimaendeleo ni upumbavu wa kupita maelezo, hiv unawezaje kushindana na nchi imewahi ku host kombe la dunia.? Ikiwa wew huna facility za kuweza ku'host hata AFCON.? That's stupidity .. wakunya ni waongo sana wazee wa kuongeza namba ili na wao waonekane wamba, wanajitiatia kama ushuzi wa ngomani [emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie hata huo msuli wa kujaribu hamna[emoji1787][emoji1787]
Kaeni pembeni tu jamani, ile siku mtajaribu km nchi(tz) hata kujibiwa sudhani km watajibu.[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom