The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Wapi kelele za katiba mpya tena!
Nadhani sasa umenielewa vizuri.![]()










Wapi kelele za katiba mpya tena!
Nadhani sasa umenielewa vizuri.![]()










Tutamkumbuka sana Magufuli miaka mingi ijayo, upendo wake kwa taifa hili haukuwa na kipimo, watanzania tumepoteza moja kati ya viongozi bora kabisa kuwahi kutokea katika nchi hii.





Aisee utasema upo Helsinki yaan maandhari ya mamtoni kabisa!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wameanza tena mgomo nini![]()








umempa mpaka Standard Deviation (SD)!tajir bwana mapesa billionaire kutoka kenya.. wadanganye wenzio sio sisi.. hamjawahi kubeba abiria 3M kwa mwaka wala 2M hamjawah kufikisha kwa mwaka .. kama hujui maths hainihusu
View attachment 1905254
View attachment 1905255
😆😆😆😆
mbona kuna vichwa vipya pia vyaja toka Malaysia ukiacha vile vinavyojengwa nchini!Vile vichwa hawawezi kuvi-upgrade
bridges + tunnels
mwisho wa siku watakubali wenyewe tu
View attachment 1905125
View attachment 1905126
View attachment 1905127
View attachment 1905128
View attachment 1905129
View attachment 1905130
ule mtindo wa Kikwete wa kuongozana na makundi ya makada wa CCM na Wabunge wasaka per diem umerudi?
Our passenger trains are EMU units 8 cars each that can also be joined to another unit yours is passenger train driven by a locomotive same as cargo trains.Just look at those boarding areas and then you will know how short their trains will be. I once told these witches that their trains will do a maximum of 300 passengers per one way trip compared to ya Kenya which is doing 1,700 per one way trip wakapinga![]()
Kwa kasi kubwa.ule mtindo wa Kikwete wa kuongozana na makundi ya makada wa CCM na Wabunge wasaka per diem umerudi?
Kazi ipo.
Huyu mama ashukuru mtangulizi wake alifanya mambo ya maana sana kukosa hivyo angeonekana kituko kuliko mfano, hajui afanye nini maskini.wanafunga comments maana wanajua wanachofanya sio sahihi...
nimeona sehem kikwete yupo comoros sijui kumpeleka ujumbe wa mama huko comoros! kwann kikwete na sio VP au PM au hata waziri wa secta husika wa huo ujumbe? yan kikwete alikuwa yupo zambia katumwa huko comoros afu pia atarudi zambia tena!
cc: