toptorn
JF-Expert Member
- Jan 6, 2019
- 1,224
- 3,057
Huyo ni mkimbizi unajisumbua bureWe mgao wa umeme bongo unajifanya umesahau eeh labda kama hukai bongo mzee
Huyo ni mkimbizi unajisumbua bureWe mgao wa umeme bongo unajifanya umesahau eeh labda kama hukai bongo mzee
Sukuma ndani kenge huyo,who is he in this Country? Atabinywa na atanywea,na wewe kamsaidie uone shughuli.Subiri uone hapo kunamichezo mingi sana mama na genge lake la wanafiki wameshindwa kutambua kushindana na gwajima kwa ili jambo ni kushindana na uma wa watanzania hapa sasa hivi chadema wataanza kucheka japo mimi siyo chadema mm nilikuwa ccm ya magufuli
Kwani lazima viwepo? We kenge kila kiongozi alikuwa na kipaombele chake kwa mfano elimu kuanzia sekondari hadi vyuo vikuu ilikuwa Sana enzi za JK,hapo ndipo tuliona shule za kata na UDOM.nkMwendazake ndio nani?
Reli ya umeme na trains za nguvu, bwawa la Nyerere, machinjio ya kisasa, mahakama mpya, mahospitali, viwanja vya ndege, Meli kubwa maziwani unavyotamba navyo kwa kufungua threads isingekuwa hivyo kama sio Magufuli.
Mbona hivyo havikuwepo kipindi cha Kikwete, zaidi ya ufisadi wa safari na kucheka cheka?
Tanzania ingekuwa kwenye lockdown kama nchi zingine kama sio Magufuli unaemuita "Mwendazake".
Have some respect, brother.
If you can't respect him as a former head of state who served his country with distinction, it's fine, but at least have some decency and try to respect yourself by respecting those who love him.
Toka kwenye mtandao nenda public ukayaseme haya uone moto🔥🔥🔥🔥Ata akikamatwa ...mlio chomwa izo chanjo mnatosha ...tusilazimishane....
Yani mm nashanga ....watu wamekuwa kama wamekula chang'aaUnasema Chanjo Hiari
Chanjo Ni Salama Ila Hutaki Mtu Ahoji hiyo chanjo!
Saivi mada ni Corona
Ukiamka Corona
Hakuna Jipya ni corona tu
Tanzania Imepatikana


Huna haki wala uhuru wa kushawishi watu kubadili hiari zao kwa upotoshaji kwa kutumia mgongo wa dini na upuuzi kama huo.Sukuma ndani huyo pimbi gwajiboyUnasema Chanjo Hiari
Chanjo Ni Salama Ila Hutaki Mtu Ahoji hiyo chanjo!
Saivi mada ni Corona
Ukiamka Corona
Hakuna Jipya ni corona tu
Tanzania Imepatikana
Kwaiyo apa nipo private...foolToka kwenye mtandao nenda public ukayaseme haya uone moto![]()
Huku umejificha kwenye kamtandao hakuna umma Unapata taarifa zako wala hakuna anaekufahamu ,story zako zitaishia hapa hapa jf with zero impacts.Kwaiyo apa nipo private...fool
bro em kua serious ishu apa ni uvivu au makinikia?Makinikia yanatoka kama zamani ,baada ya kufa magufuli kikao kikafanyika ghafla ajenda ni kukwamisha viwanda vya kuchakata makinikia vilivyo kuwa vinajengwa nchini na ilo limefanyika
We mpunga wa juha, huwa unasafir hata.? Kila kiongozi alikua na vipaumbele vyake ila mambo aliyofanya Magufuli ni exra ordinary, amefanya vitu vimkubwa mno, usije ukathubut hata siku moja kumdhihaki mbele ya wasomi .. kama huna hoja kaa kimyaKwani lazima viwepo? We kenge kila kiongozi alikuwa na kipaombele chake kwa mfano elimu kuanzia sekondari hadi vyuo vikuu ilikuwa Sana enzi za JK,hapo ndipo tuliona shule za kata na UDOM.nk
Hawana la kumfanya.They know exactly what Josephat Gwajima is capable of, so they won't bother to seize him! Let us just stay aside and look!
Hio ndio interchange ya kenya standards 🤣🤣 is that interchange au overpass??
Theres a reason we have ten times more interchange than tz, this is syongila deep in kitui😍😍😍wakati dar ikisubiri msaada, syongila interchange, ukambaniView attachment 1820582
View attachment 1820579View attachment 1820580
Nimecheka sana mtu hajui maana ya publicKwaiyo apa nipo private...fool








Hajawahi kupata akili hata siku 1.Wewe kweli hauna akili ujui mtego umekavipi hapo wenzako tunatega kuwakamata walio husika na kifo cha kamanda wetu
Upumbavu wa Chadema na wao ni walewale, laiti wangekuwa na mrengo wa antivaxx wangetupata wengi!Subiri uone hapo kunamichezo mingi sana mama na genge lake la wanafiki wameshindwa kutambua kushindana na gwajima kwa ili jambo ni kushindana na uma wa watanzania hapa sasa hivi chadema wataanza kucheka japo mimi siyo chadema mm nilikuwa ccm ya magufuli

Yesu atakuwa amesha fika na kusibitisha....kwani ukichanjwa ndio hufi...nitole upuzi apaHuku umejificha kwenye kamtandao hakuna umma Unapata taarifa zako wala hakuna anaekufahamu ,story zako zitaishia hapa hapa jf with zero impacts.
Kama una jeuri nenda hadharani kwa kutumia media rasmi uje uone.
Zama zaja chanjo ni lazima na hutokuwa na hiari utachanjwa tuu.Kwa sasa una hiari ya kuchanja au laa ila huna hiari ya kuambukiza wengine.
Kwani ikiwa ya muarabu inakuaje?Ni mroma, iwe Catholic ama Anglican, asili yao ni Roma, nyambaff, kwani unadhania hatujui kutofautisha architecture? ya mwarabu pia tunaijua, ikulu ni shrine ya mwarabu, aka msikiti, haibadiliki kubalini yaishe.