Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwendazake ndio nani?

Reli ya umeme na trains za nguvu, bwawa la Nyerere, machinjio ya kisasa, mahakama mpya, mahospitali, viwanja vya ndege, Meli kubwa maziwani unavyotamba navyo kwa kufungua threads isingekuwa hivyo kama sio Magufuli.

Mbona hivyo havikuwepo kipindi cha Kikwete, zaidi ya ufisadi wa safari na kucheka cheka?

Tanzania ingekuwa kwenye lockdown kama nchi zingine kama sio Magufuli unaemuita "Mwendazake".

Have some respect, brother.

If you can't respect him as a former head of state who served his country with distinction, it's fine, but at least have some decency and try to respect yourself by respecting those who love him.
Huwa nashangaa sana mkuu.
 
Yule jamaa anapinga kila kituu haeleweki
Leo anashauri serikali ikope pesa nyingi ijenge miundombinu ikiwemo barabara, kipindi cha nyuma alikuwa anasema serikali ya kijinga inajenga mabarabara wkt hali mtaani ngumu, watu wanakula hiyo midaraja, midege na mibarabara? Leo anakula matapishi yake mwenyewe mbwa huyu.

Lakini huyu mbwa ni chizi asiye na kipimo anakwambia uchumi kwa ss upo vzr baada ya kuingia SSH, yani uchumi umekuwa vzr na tuna uwezo miezi mitano tu baada ya kufa Magufuli wallahi huyu ni mnafki ambaye sijawahi kumshuhudia duniani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Alafu kanajiita kamwanauchumi, vikisomaga vikozi vyao uchwara kule Open university vinakuja kusumbua watu na definition lkn ukiviambia viongee neno watu waelewe vinageuka vihayawani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anapinga kila kitu mpk uchumi wa kati anakwambia ni JK ndio katufikisha hapo, yani JK ameachia nchi 2015 uchumi wa kati tumeingia 2020 mtu anakwambia aliyetufikisha hapa ni yule wa 2015 Yani kashindwa kutupeleka uchumi wa kati kipindi anaongoza yeye kaja kutuingiza uchumi wa kati huku akiwa sio Rais [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wakati mwingine huwa tunajisumbua sana kujibu baadhi ya watu mpk tunaharibu utamu wa battle matokeo yake tunawapa pumzi wakunya ambao washajifia tayari wanasubiri sababu ya kifo tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio maana Id Nyingi humu Zimeacha kuchangia
Litanzania Linakuwa na chuki na Mtanzania mwenzake
Yeye kila kitu Anakijua
 
Wat
Watasema ni mwarabu
Wanataka tujenge ikulu ya udongo na makuti. Wakijenga yakwao hawachelewi kuweka mabati maana ndio wanayoyatumia kwenye kuta zao na kufunika magari ya mizigo kwa mabati yaonekane ya kubeba abiria, eti matatu 😀 .Halafu style ya mabati wameiga kwa wahindi
 
Back
Top Bottom