Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muulize uchumi wa kati tuliingiaje kabla ya wakati 2030 kwa kipindi cha miaka mitano tu kama magu hakufanya kitu hata wanafiki wakina kikwete baada ya kufa magufuli wanapongeza
Sijawai kuona akili urojo kama ya uyu jamaa
 
aropoke halafu tuone!
Subiri uone hapo kunamichezo mingi sana mama na genge lake la wanafiki wameshindwa kutambua kushindana na gwajima kwa ili jambo ni kushindana na uma wa watanzania hapa sasa hivi chadema wataanza kucheka japo mimi siyo chadema mm nilikuwa ccm ya magufuli
 
nimecheka kwa sauti aisee
hebu soma habari nzima ni Auckland ndo imewekwa lockdown kwa New Zealand kuna miji ina watu 3000 sasa inategemea huyo aliyeumwa alizurura wapi na akakutana na wangapi! Mimi siwacheki japokuwa uamuzi wao ni very harsh!
 
Hakuna wivu hapa nashangaa tu, upuzi gani huu mmefanya nyie vilaza?.., eti ikulu!!! Tanzania ni taifa la dini ya kiislamu?.., sina ubaya na dini, lakini hiyo ndio picha.
Naona na nyie Wakunya mnajenga Misikiti







Mkunya mpumbavu wewe sijui kama umeosha kinyeo chako leo!
 
Subiri hiyo promo wametoa ili kuzima moto wa kifo cha magufuli maana siyo cha kawaida ila ukweli upo asilimia 90% mama hakubaliki jeshini ila yamewekwa moyoni wakijaribu kuvuta subira labda mama ataendesha nchi vizuri ,ila kwa jinsi anavyo boronga sijui
😳hivi we unalijua jeshi? yani jeshi zima au wakuu wa comand au hata wapiganaji we unataarifa zao kwamba wananchukia ssh?
how jwtz operate au sheria za kijeshi we unazijua?
 




MY TAKE
Safi sana na wamvue uanachama CCM! Jimbo lile alipewa na Mwendazake!


Mwendazake ndio nani?

Reli ya umeme na trains za nguvu, bwawa la Nyerere, machinjio ya kisasa, mahakama mpya, mahospitali, viwanja vya ndege, Meli kubwa maziwani unavyotamba navyo kwa kufungua threads isingekuwa hivyo kama sio Magufuli.

Mbona hivyo havikuwepo kipindi cha Kikwete, zaidi ya ufisadi wa safari na kucheka cheka?

Tanzania ingekuwa kwenye lockdown kama nchi zingine kama sio Magufuli unaemuita "Mwendazake".

Have some respect, brother.

If you can't respect him as a former head of state who served his country with distinction, it's fine, but at least have some decency and try to respect yourself by respecting those who love him.
 
Makinikia yanatoka kama zamani ,baada ya kufa magufuli kikao kikafanyika ghafla ajenda ni kukwamisha viwanda vya kuchakata makinikia vilivyo kuwa vinajengwa nchini na ilo limefanyika
Kwan kaka waziri mkuu akilitolea ufafanuzi hiloswala ulkua wapi?
kama una hela kajenge smelter serkali itakuunga mkono ' kumpata mwekezaji wa ukweli inahitaji muda so makinikia yanasafirishwa kwa makubaliano maana serkali ni mwanahisa wa twiga company so anachukua chake kwenye faida accordingly
does that make sense to you?
 
Back
Top Bottom